MAHAKAMA YAMWACHIA HURU ALIEDAIWA KUMUUA JIRANI YAKE (HUHESO Digital Blog 14:32 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwachia huru, dereva Boi Rajabu (65) aliyekuwa aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, baada ya upande ... Read more »
AFIKISHWA MAHAKAMANI AKIWA NA KOBE 998, MAGAMBA 10 YA KOBE, MKIA WA NYATI ADAI ANAENDA KUTIBU WATU UKIMWI AMEOTESHWA (HUHESO Digital Blog 07:03 0 Mkazi wa Kijiji cha Nyarukoru, mkoani Mara, Matimba Washa (28), ameshtakiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Butiama kwa makosa matatu likiwamo ... Read more »
WAHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA KWA KUIBA MAFUTA YA UJENZI WA SGR (HUHESO Digital Blog 13:36 0 Mahakama ya wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imewahukumu kwenda jela miaka miwili au kulipa faini washtakiwa watatu kati ya sita waliohusika n... Read more »
JELA MIAKA MINNE KWA KUKATA KIGANJA CHA BOSS WAKATI AKIDAI ELFU 65 (HUHESO Digital Blog 13:23 0 MKAZI wa Ludewa mkoani Njombe, Baraka Luoga (20) amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la kumjeruhi kwa kumkata kiganja cha mkon... Read more »
JELA NA KULIPA FIDIA YA LAKI TANO KWA KUMBAKA DADA YAKE WA TUMBO MOJA (HUHESO Digital Blog 16:40 0 FRANK Kigomba (31) mkazi wa Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya Sh 500,000 kwa kosa la ... Read more »
KIJANA WA MIAKA 19 APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUMWINGILIA KINYUME NA MAUMBILE MTOTO WA MIAKA NANE (HUHESO Digital Blog 16:41 0 Mkazi wa eneo la Ilkiding'a wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha, Calvin Abraham (19) amepandishwa kizimbani akikabiliwa na makosa mawili ya ... Read more »
AHUKUMIWA KUNYONGWA KWA KUMUUA MKE WAKE (HUHESO Digital Blog 17:40 0 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi kwa kosa la kumuua ... Read more »
AFUNGWA JELA KWA KUMBAKA MTOTO WAKATI AKICHUNGA NG'OMBE ALIMDANGANYA KAKA WA MHANGA KUANGALIA MIFUGO ISIPOTEE (HUHESO Digital Blog 18:55 0 Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara, imemhukumu Richard Martin (42), mkazi wa kiijiji Cha Minjingu kifungo cha miaka 30 jela kwa ko... Read more »
AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JERA KWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA MITATU - ARUMERU (HUHESO Digital Blog 11:16 0 Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha imemhukumu kifungo cha maisha jela, John Sanare Lukuaya (23) mkazi wa Kijiji cha Kimnyaki, Kata ... Read more »
UPELELEZI WA KESI YA DAWA ZA KULEVYA INAYOMKABILI KOCHA WA SIMBA NA WENZAKE WAKAMILIKA (HUHESO Digital Blog 13:42 0 Upelelezi wa kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine kilo 34.89 inayomkabili aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya Simba Sport Cl... Read more »
MAHAKAMA YAAGIZA MWILI WA STELLA UFUKULIWE NA KUFANYIWA UCHUNGUZI MAJIBU YAPELEKWE MAHAKAMANI (HUHESO Digital Blog 16:30 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni (Kinondoni) jijini Dar es Salaam imeamuru mwili wa mwanamke aliyefia mahabusu katika kituo cha Polisi Mbu... Read more »
SERIKALI YAPINGA SABAYA KUACHIWA HURU (HUHESO Digital Blog 12:59 0 Ofisi ya Mwendesha Mashitaka nchini (DPP) amekata rufaa kupinga hukumu iliyowaachia huru aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya n... Read more »
WALIOTUHUMIWA KUUA MTOTO WA MIAKA MIWILI WAPATE DHAHABU, MAHAKAMA YAWAACHIA HURU (HUHESO Digital Blog 15:00 0 Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imewaachia huru washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya mtoto Simon Kabula (2) baada ya upande wa Jamhuri kut... Read more »
MAKADA WA CHADEMA WALIOHUKUMIWA KWA UBAKAJI WAACHIWA HURU (HUHESO Digital Blog 16:12 0 Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga imewachiwa huru makada wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Katala Kikaja na N... Read more »
HAKIMU AGOMEA KUJITOA KESI YA MFALME ZUMARIDI (HUHESO Digital Blog 13:14 0 Hakimu anayesikiliza kesi ya Jinai namba 12/2022 inayomkabili Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake 83 ametupilia mbali maombi ya... Read more »
MGANGA WA KIENYEJI KUNYONGWA MKOANI RUKWA (HUHESO Digital Blog 16:43 0 Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga imemhukumu mganga wa jadi, James Kapyela (57) kunyongwa hadi kufa, baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuwa... Read more »
ALIEMKASHIFU RAIS SAMIA KWENYE WHATSAPP AHUKUMIWA MIAKA SABA JELA NA FAINI (HUHESO Digital Blog 15:40 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief... Read more »
DAGAA ZASABABISHA MAMA KUFUNGWA JELA-MTWARA (HUHESO Digital Blog 15:31 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Somoe Mohamed (34) kwa kosa la kumjeruhi mtoto wake wa miaka mitano ... Read more »
AFUNGWA MAISHA KWA UBAKAJI WA MTOTO (HUHESO Digital Blog 14:34 0 Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya ku... Read more »
AFUNGWA MAISHA KWA UBAKAJI WA MTOTO (HUHESO Digital Blog 15:16 0 KULWA Paulo Chamkoko mkazi wa mtaa wa Ghana kata ya Kiloleni Manispaa ya Tabora amehukumiwa kifungo cha Maisha jela baada ya kutiwa hatiani ... Read more »