Post Top Ad
Showing posts with label HABARI. Show all posts
Showing posts with label HABARI. Show all posts
Monday, 13 October 2025
WAANDISHI WAASWA WASITOE JUKWAA KWA WANAOVURUGA AMANI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa uhakika kamili wa usalama na utulivu kuelekea Uchaguzi Mkuu, huku ikihimiza wananchi kuon...
VIONGOZI WA DINI WASHIKAMANA: Maaskofu na Masheikh Waongoza Maombi ya Kufunga, Waonya Dhidi ya Uchochezi, Wasisitiza Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu
Na Mwandishi wetu Kukiwa kumesalia takriban wiki mbili tu kabla ya Watanzania kujitokeza kwenye sanduku la kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu...
TANZANIA MIKONO SALAMA: Wananchi watahadharishwa Habari feki na uchochezi Kuelekea Oktoba 29
Na Mwandisdhi Wetu ZIKIWA zimebaki siku 16 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliwa na tishio kubwa la kidijitali: M...
Sunday, 12 October 2025
KURA HUCHAGIZA MAENDELEO YA TAIFA:KUTOKA AHADI HADI UTEKELEZAJI
Na Mwandishi Wetu Kura ndio msingi wa maamuzi ya nchi, kura hutumika kuchagua chama kinachotoa ilani na viongozi wanaowajibika kuitimiza. K...
TUME YATANGAZA MAREKEBISHO YA MAENEO YA UCHAGUZI, YATENGUA WAGOMBEA
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo...
KURA NDIO TINGATINGA! TUIDHINISHE FURSA
Siku ya maamuzi Oktoba 29, 2025 inakaribia ! Kura yako ni zaidi ya kupiga mstari; ndio njia kuu ya kuwasha injini ya maendeleo ya nchi. Tanz...
Saturday, 11 October 2025
WIZARA YA NISHATI YATUMIA MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI KUTOA ELIMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌 *Wananchi wamiminika kupata elimu ya Nishati Safi ya Kupikia kwa njia ya vitendo* 📌 *RC Tanga afungua Maadhimisho; atoa pongezi kwa Wiz...
RAIS SAMIA AKAZIA: UONGOZI WA TAIFA SI DARASA LA MAJARIBIO
Na Mwandishi wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito...
VIJANA WAASWA KUJIFUNZA KUTOKA UCHAGUZI WA KURA TATU, WAPIGE KURA
Na Mwandishi Wetu Kupiga kura si kitendo cha kuweka alama tu; ni msingi wa maamuzi na njia kuu ya kushiriki katika kuamua mustakabali wa nch...
VIONGOZI WA DINI: KURA YAKO NI MAAMUZI, KUSUSIA NI KUCHAGUA HEWA
Na Mwandishi Wetu Tofauti na maneno matupu au hisia za mitandaoni, kura ndio kitendo pekee chenye mamlaka halisi ya kuamua hatima ya Taifa....
UTAFITI MIAMBA BONDE LA EYASI WEMBERE WATHIBITISHA UWEZEKANO WA UPATIKANAJI MAFUTA
📌 *Dkt Mataragio akagua shughuli za utafiti na kutoa maelekezo kwa TPDC/AGS* 📌 *Awamu ya pili ya utafiti kukamilika Aprili 2026.* *📌Asil...
Friday, 10 October 2025
NSSF MKOA WA KAHAMA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTAMBUA MICHANGO YA WATEJA WAKE
Kahama. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Kahama umeadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kutambua mchango mkubwa wa wate...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.