MASHABIKI SIMBA MKALAMA WATOA MSAADA HOSPITALI YA WILAYA NA SHULE YA SEKONDARI NDUGUTI NKUMBI 14:43 0 Mashabiki wa Simba Wilayani Mkalama leo Agost 8,2024 wameadhimisha Simba Day kwa kutoa msaada katika hospitali ya Wilaya pamoja na shule ya ... Read more »
MBAPPE ASAINI REAL MADRID MSHAHARA TSH BILIONI 42 KWA MWAKA NKUMBI 00:10 0 Baada ya kuachana rasmi na Klabu ya Paris Saint-Germain akiwa mchezaji huru, Kylian Mbappe (25) amejiunga na kikosi cha Real Madrid baada ... Read more »
MBUNGE WA KISHAPU MHE. BONIPHACE BUTONDO AZINDUA SHAGY CUP (HUHESO Digital Blog 23:10 0 Mbunge wa Jimbo la Kishapu Mkoani Shinyanga Mhe. Boniphace Butondo leo Mei 4,2024 amezindua ligi ya Shagy Cup katika viwanja vya shule ya ms... Read more »
Walter Harson: Sijihusishi na uwakala wa wachezaji (HUHESO Digital Blog 13:04 0 MENEJA wa Yanga, Walter Harson, amesema majukumu aliyonayo kwa sasa Yanga hawezi kushughulika na masuala ya uwakala wa wachezaji, hajawahi n... Read more »
TFF PAMOJA NA KDFA WAHITIMISHA MAFUNZO YA UKOCHA KAHAMA (HUHESO Digital Blog 12:20 0 Jumla ya makocha 35 kutoka mikoa mitatu ya Geita, Tabora na Shinyanga wamehitimu kozi ya awali ya ualimu wa mpira wa miguu Grassroots (kocha... Read more »
TFF KUSHIRIKIANA NA KDFA WAZINDUA RASMI MAFUNZO YA MAKOCHA KAHAMA (HUHESO Digital Blog 20:36 0 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Tanzania Footbal Federation (TFF) Kwa kushirikiana na uongozi wa Chama Cha Mpira wa miguu Wilayani Ka... Read more »
YANGA WARUHUSU WATOTO KUINGIA BURE UWANJANI (HUHESO Digital Blog 20:05 0 MENEJA Habari na Mawasiliano wa Yanga , Ally Kamwe amesema klabu hiyo inadhamiria kuanzisha utaratibu wa kuruhusu watoto chini ya umri wa ... Read more »
MKATABA WA YANGA NA NBC KUWANUFAISHA WANACHAMA (HUHESO Digital Blog 18:03 0 "Siku ya leo ni siku kubwa na ya kihistoria katika soka letu la Tanzania, benki ya NBC TANZANIA ndio Benki kongwe nchini na Kadi hii ya... Read more »
YANGA YAINGIA MKATABA NA NBC BANK (HUHESO Digital Blog 17:52 0 "Sisi kama Young Africans Sports Club tunajivunia kuingia makubaliano na Benki bora NBC Tanzani a ya kuwa hudumia kwenda kuwahudumi... Read more »
YANGA WAITAZAMA SIMBA KAMA TISHIO-KAMWE (HUHESO Digital Blog 17:32 0 Kuelekea mchezo wetu wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, sisi Young Africans SC hatuiangalii Simba kama nyie wengine mnavyoiangalia, sisi tunaing... Read more »
YANGA WATOA SARE NA MAMELODI KWA MKAPA (HUHESO Digital Blog 00:36 0 KLABU ya Yanga imeshindwa kutamba kwenye uwanja wake wa nyumbani mara baada ya kulazimishwa sare na Mamelodi Sundowns 0-0. NA EMMANUEL MBATI... Read more »
SERIKALI YASAINI MKATABA WA UJENZI WA UWANJA-ARUSHA (HUHESO Digital Blog 14:22 0 SERIKALI imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Samia Suluhu Hassan utakaojengwa jijini Arusha na kugharimu Sh bilioni 286. Akishuhudia uti... Read more »
ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA MOTO UMEWAKA (HUHESO Digital Blog 16:29 0 Droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali imepangwa muda mfupi uliopita huku Arsenal ikipewa Bayern Munich na Manchester City vig... Read more »
ZUCHU AOMBA RADHI BAADA YA KUFUNGIWA ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 16:53 0 Msanii, Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu ameomba radhi mashabiki wake na jamii kwa ujumla baada ya kufungiwa na Baraza la Sanaa, Sensa, Fi... Read more »
ZUCHU AFUNGIWA KUFANYA SHUGHURI ZA SANAA ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 13:08 0 Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha sh... Read more »
MUUNDO MPYA UEFA WATANGAZWA (HUHESO Digital Blog 18:28 0 SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA) limetangaza muundo mpya wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa msimu wa 2024/2025. Awali ziliku... Read more »
SIMBA KUREJEA KWA KISHINDO (HUHESO Digital Blog 16:01 0 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa baada ya kuwa chimbo kwa muda mrefu wanarejea ndani ya Februari kutoa burudani mwanzo mwisho kwenye mec... Read more »