YANGA YAINGIA MKATABA NA NBC BANK - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 15 April 2024

YANGA YAINGIA MKATABA NA NBC BANK



"Sisi kama Young Africans Sports Club tunajivunia kuingia makubaliano na Benki bora NBC Tanzaniya kuwa hudumia kwenda kuwahudumia Wanachama wetu kwenye Usajili na kutoa Kadi za Uanachama" Rais wa Young Africans SC Eng.Hersi Said


Ukijiunga kuwa Mwanachama wa Young Africans SC, kupitia Benki ya  utapata kadi ya NBC Tanzania Uanachama na hapo hapo utapata huduma za kibenki, Lakini kubwa zaidi kadi ya NBC imeunganishwa na huduma za N CARD hivyo Mwanachama wetu atapata huduma ya kuingia Uwanjani pamoja na huduma za Usafiri"


"Niwaombe pia Benki ya NBC Tanzania kutazama fursa nyingi zilizopo ndani ya Klabu yetu tuna Wanachama ndani na nje ya nchi na tunaamini Young Africans SC ndio Klabu sahihi ya kufanya nayo kazi kwenye sekta ya michezo na nyie ni mashahidi, tangu mdhamini Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Bingwa ni Young Africans na niwahakikishie, kama mtaongeza Mkataba wa miaka 10 mbele, Bado Young Africans atabaki kuwa Bingwa katika kipindi chote hiko"

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso