YANGA WAITAZAMA SIMBA KAMA TISHIO-KAMWE - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 15 April 2024

YANGA WAITAZAMA SIMBA KAMA TISHIO-KAMWE

Kuelekea mchezo wetu wa Derby ya Kariakoo Jumamosi, sisi Young Africans SC hatuiangalii Simba kama nyie wengine mnavyoiangalia, sisi tunaingalia Simba kama timu Tishio na tunayowania nayo Ubingwa.

Ni timu yenye wachezaji wazoefu na Viongozi wazuri na ndio maana sisi kama Young Africans SC haendi kwenye Derby kwa kuwaangalia Simba kama ambavyo waandishi na watu wengine wanavyoiangalia"


"Viingilio vya mchezo Kariakoo Derby Jumamosi ni kama vifuatavyo;

VIP A - 50,000
VIP B - 30,000
VIP C - 20,000
MACHUNGWA - 10,000
MZUNGUKO - 5,000


Na mpaka sasa tiketi za VIP A zimebaki 50 tu. Hivyo basi tunawaomba Wanachama na Mashabiki wetu kununua tiketi mapema kupitia mitandao ya simu na vituo vitakavyotajwa kupitia mitandao yetu"

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso