MO ATETA NA VIONGOZI SIMBA (HUHESO Digital Blog 12:16 0 MWEKEZAJI wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' amefanya kikao cha ndani na viongozi wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa Msimb... Read more »
BOSI WA KIJIJI CHA NGURUWE AAHIDI ZAWADI YA NGURUWE ALIYENONA KWA KILA GOLI LA SIMBA SC DHIDI YA IHEFU SC (HUHESO Digital Blog 17:57 0 Mkurugenzi wa Kampuni ya Kijiji cha Nguruwe Project kilichopo Zamahero wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma ambaye ni shabiki kindakindaki wa Timu... Read more »
MADRID, MANCITY MECHI YA KISASA (HUHESO Digital Blog 11:59 0 MADRID, Hispania; Real Madrid leo watakuwa wenyeji wa Manchester City katika mchezo wa Robo Fainali ya kwanza Ligi ya Mabingwa Ulaya katika ... Read more »
Pacome, Aucho, Yao ndani Yanga ikiifuata Mamelodi (HUHESO Digital Blog 15:34 0 Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema mechi yao dhidi ya Mamelodi Sundowns itakuwa ngumu kutokana na kila timu inatamani kufuzu hatua ... Read more »
YANGA WAIFUATA MAMELODI (HUHESO Digital Blog 15:17 0 Kikosi cha Yanga kimeondoka nchini leo kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa pili Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dh... Read more »
MNYAMA ASAKA ZINGINE TATU (HUHESO Digital Blog 12:48 0 Klabu ya Simba leo inatupa karata yake nyingine katika Ligi Kuu huku hesabu zikiwa ni kupunguza tofauti ya alama dhidi ya Yanga pamoja na Az... Read more »
MKISEMA SINGIDA FG IMEYUMBA MNANIPA STRESS (HUHESO Digital Blog 11:18 0 Ofisa Habari Singida FG, Hussein Massanza afunguka baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Simba kwa mabao 3-1. Massanza amesema anapata ‘stresi’ ... Read more »
MWANA FA AWAKILISHA UZINDUZI ALL AFRICAN GAMES (HUHESO Digital Blog 17:39 0 ACCRA, Ghana: Mashindano ya Afrika (All African Games 2023) yamezinduliwa rasmi Machi 8, 2024 jijini Accra, Ghana. Rais wa Ghana, Nana Akufo... Read more »
ARTETA KOCHA BORA FEBRUARI (HUHESO Digital Blog 16:46 0 Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amechaguliwa kuwa meneja bora wa Mwezi Februari 2024 wa Ligi Kuu nchini England akishinda kwa mara ya saba. A... Read more »
OKRAH KUONDOKA SIMBA (HUHESO Digital Blog 21:31 0 WINGA Mghana, Augustine Okrah amekuwa mchezaji wa kwanza kuruhusiwa kuondoka Simba wakati msimu unaelekea ukingoni. Taarifa ya Simba SC imes... Read more »
MOROCCO WASUSIA MICHUANO YA CHAN INAYOANZA KUTIMUA VUMBI KESHO IJUMAA WAJIONDOA KISA NDEGE (HUHESO Digital Blog 18:20 0 Morocco imejiondoa katika kutetea taji lao la Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwezi huu baada ya kukataliwa kusafiri moja kwa moja hadi ... Read more »
WATANZANIA KUSHINDA ZAWADI NONO KOMBE LA DUNIA (HUHESO Digital Blog 00:34 0 Macho ya ulimwengu mzima yamegeukia huko nchini Qatar kushuhudia mataifa 32 yakichuana kuwania Kombe la Dunia. Raia kutoka nchi washiriki na... Read more »
SIMBA NGOMA NZITO WALAZIMISHWA SARE NA MBEYA CITY (HUHESO Digital Blog 18:07 0 KLABU ya Simba imelazimishwa sare ya mabao 1-1 dhidi ya timu ya Mbeya City, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Sokoine Mbeya. NA EMMANUE... Read more »
DEJAN GEORGIJEVIC AONDOKA SIMBA (HUHESO Digital Blog 17:46 0 Mshambuliaji wa Simba Mserbia Dejan Georgijević ametangaza kuachana na klabu hiyo kwa kile alichokiandika kwamba Simba wameshindwa kutimiza ... Read more »
SIMBA YACHAPWA NA ARTA SOLAR UWANJA WA UHURU (HUHESO Digital Blog 16:37 0 LICHA ya Kumiliki Mpira kwa asilimia 61 Timu ya Simba imepokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa wageni Arta Solar kutoka nchini Djibouti mchez... Read more »
HASIRA ZA SIMBA ZAISHIA KWA GEITA GOLD (HUHESO Digital Blog 06:11 0 KLABU ya Simba imeanza vizuri kwenye ligi ya NBC mara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya timu ya Geita Gold, mchezo ambao uli... Read more »
MUDA HAUJAFIKA KUWASEMA VIBAYA KOCHA MAKI NA MSHAMBULIAJI DEJAN WA SIMBA (HUHESO Digital Blog 10:57 1 NI vigumu sana kwangu kuamini kwamba Simba wanaweza kuwa wamekosea sana kumpeleka kwao kocha Maki baada ya mchakato wa nguvu wa kumpata. ANA... Read more »
MAYELE ALETA KILIO SIMBA, YANGA MABINGWA NGAO YA JAMII 2022/23 (HUHESO Digital Blog 21:57 0 Klabu ya Young Africans imefanikiwa kutwaa kombe la Ngao ya Jamii dhidi ya klabu ya Simba Sports Club kwa mwaka wa msimu 2022/2023. Na Sai... Read more »
MANARA NA RAIS WAKE HERSI WA YANGA WAFUNGULIWA MASHTAKA NA TFF (HUHESO Digital Blog 03:35 0 Sekretarieti ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungulia mashtaka ya kimaadili Rais wa klabu ya Young Africans Sports Clu... Read more »
KARIM MANDONGA APIGWA TENA BILA HURUMA ULINGONI - SONGEA (HUHESO Digital Blog 23:31 0 Bondia maarufu kwa jina la Karim Mandonga amepigwa tena na mpinzania wake Shabani katika pambano la masumbwi lililopigwa usiku huu mkoani Ru... Read more »