KARIM MANDONGA APIGWA TENA BILA HURUMA ULINGONI - SONGEA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Saturday 30 July 2022

KARIM MANDONGA APIGWA TENA BILA HURUMA ULINGONI - SONGEABondia maarufu kwa jina la Karim Mandonga amepigwa tena na mpinzania wake Shabani katika pambano la masumbwi lililopigwa usiku huu mkoani Ruvuma, Mandonga ambaye anaonekana kuwa na mashabiki wengi leo amechezea kichapo na kuangushwa mara mbili ulingoni kitendo kilichompelekea Mwamuzi wa pambano hilo kumaliza mchezo na mpinzani wake kumshinda mandonga kwa KO.

Na Huheso Digital Blog

Mandonga amekuwa maarufu kutokana na tambo zake nyingi na kujigamba kusambaratisha mpinzani wake sasa imekuwa tofauti na matarajio yake na kupigwa kwa KO.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso