Amos Malingita anakuleta kibao kipya cha ngoma ya asili ya kisukuma kinachoitwa WASHILILE, pata nafasi ya kusikiliza kazi yake, Karibu sana
Amos Malingita Katika Moja view zake kwenye video yake mpya ya Washilile.
Amosi Malingita katika moja ya view yake akifanya vitu vyake katika wimbo mpya, karibu twende pamoja.
Angalia video yake hapa chini
Kazi nzuri , big up
ReplyDeleteKazi nzuri
ReplyDelete