MVUA ZAKATA MAWASILIANO KATAVI (HUHESO Digital Blog 16:51 0 MVUA zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimekata mawasiliano katika madaraja ya Mto Msadya pamoja na Daraja la Mto kibaoni kati... Read more »
DUNIA KUSHUHUDIA KUPATWA KWA JUA LEO (HUHESO Digital Blog 11:03 0 Baadhi ya maeneo Duniani watanufaika na tukio adhimu la kupatwa kwa Jua siku ya leo tarehe 8 April 2024. Picha ya mfano Ambapo kuanzia maj... Read more »
POLISI SHINYANGA YAKAMATA SILAHA (HUHESO Digital Blog 12:20 0 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi akionesha silaha zilizokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga Kamanda wa Polisi... Read more »
WAANDISHI WA HABARI WAWILI WAFARIKIDUNIA KWA AJALI YA GARI (HUHESO Digital Blog 11:04 0 Waandishi wa habari wawili wa mkoa wa Lindi wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea jana usiku wa kuamkia leo Machi 26, 2024 katika... Read more »
WATATU WAUAWA NA ANAYESADIKIKA KUWA MGONJWA WA AKILI (HUHESO Digital Blog 12:32 0 Watu watatu wameuwawa akiwemo mama mjamzito wa miezi 7 huku mtuhumiwa akidaiwa kuwa na matatizo ya Afya ya akili ambapo tukio hilo limetokea... Read more »
CHANZO AJALI YA BAGAMOYO ILIYOUA WATU 9, DEREVA WA LORI KU-'OVERTAKE' (HUHESO Digital Blog 10:57 0 Watu tisa wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Kiromo Jana usiku, March 10, 2024 Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya Coast... Read more »
AJIFUNGUA MAPACHA WATATU AOMBA MSAADA-GEITA (HUHESO Digital Blog 14:55 0 Rebeka John (27), mkazi wa Ikurwa Wilaya ya Geita amejifungua watoto watatu njiti Machi 04, 2024 katika Kituo cha Afya Nyankumbu kilichopo M... Read more »
BINTI WA MIAKA 16 AJERUHIWA KWA RISASI MKOANI MARA (HUHESO Digital Blog 11:27 0 Neema Omari (16), mkazi wa Kijiji cha Kewanja Wilaya ya Tarime mkoani Mara amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyere... Read more »
EDWARD LOWASA AFARIKI DUNIA RAIS SAMIA ATUMA SALAM ZA POLE (HUHESO Digital Blog 17:00 0 Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa (70) amefariki dunia leo Jumamosi Februari 10,2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu kat... Read more »
SOKO LA MBUYUNI MOSHI LATEKETEA KWA MOTO (HUHESO Digital Blog 13:07 0 Soko la Mbuyuni manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro limeteketea kwa moto na kuacha wafanyabiashara zaidi ya 2500 wakiwa hawajui la ku... Read more »
MLIPUKO WA GESI UMETOKEA MJI MKUU WA KENYA NAIROBI NA KUUA WATU WATATU NA WENGINE 300 KUJERUHIWA (HUHESO Digital Blog 00:37 0 Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lililipuka katika wilaya ya Embakasi mwendo wa 23:30 (20:30 GMT), "na kuwasha moto mkubwa"... Read more »
ADAIWA KUJINYONGA BAADA YA MWENZA WAKE KUCHUKULIWA NA WAZAZI (HUHESO Digital Blog 14:10 0 Mkazi wa Mtaa wa Idundilanga, wilayani Njombe, Venance Haule (24) anadaiwa kujinyonga kwa kile kinachoelezwa mwanamke aliyekuwa akiishi naye... Read more »
LORI LA KEMIKALI LAUA DEREVA NA KODAKTA KWA KUTUMBUKIA MTONI (HUHESO Digital Blog 11:12 0 Watu wawili wanahofiwa kufariki dunia baada ya lori walilokuwemo kupoteza mwelekeo na kuingia mtoni kisha kulipuka katika eneo la makutano y... Read more »
VIFO VYAONGEZEKA MKOANI MANYARA KUTOKANA NA MAFURIKO (HUHESO Digital Blog 11:05 0 Wakati vifo vilivyosababishwa na maporomoko ya matope vikiongezeka na kufikia 49 wilayani Hnang’, askari 350 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzani... Read more »
BASI LA KAMPUNI YA ALLY'S LAGONGA TRENI YAUA WATU 13 NA 25 WAJERUHIWA (HUHESO Digital Blog 15:14 0 Watu 13 wamefariki dunia na 25 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Ally's lenye namba za usajili T.178 DVB lililokuwa likitokea Jijini Da... Read more »
WATU 12 WANASHIKILIWA NA POLISI KWA KUKUTWA NA NOTI BANDIA (HUHESO Digital Blog 10:44 0 Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa 12 na wengine limewafikisha mahakamani kutokana na makosa mbali... Read more »