MKISEMA SINGIDA FG IMEYUMBA MNANIPA STRESS - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 13 March 2024

MKISEMA SINGIDA FG IMEYUMBA MNANIPA STRESS


Ofisa Habari Singida FG, Hussein Massanza afunguka baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Simba kwa mabao 3-1.

Massanza amesema anapata ‘stresi’ akisikia kuwa timu yao imeyumba. Kutokana na hali ya kusuasua kwa kikosi chao, amesema muda wowote watatambulisha benchi jipya la ufundi, na kocha mkuu watampa ajenda 10 za kumalizia msimu huu wa Ligi ya NBC 2023/2024.


Aidha, amezitakia heri Simba na Yanga baada ya droo ya hatua ya robo fainali CAFCL kupangwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso