Pacome, Aucho, Yao ndani Yanga ikiifuata Mamelodi - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 2 April 2024

Pacome, Aucho, Yao ndani Yanga ikiifuata Mamelodi


Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema mechi yao dhidi ya Mamelodi Sundowns itakuwa ngumu kutokana na kila timu inatamani kufuzu hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo mechi hiyo inatarajiwa kupigwa Aprili 5, 2024 nchini Afrika Kusini.


Pia amezungumzia hali ya wachezaji ambao walikosekana mechi iliyopita kutokana na majeraha akiwemo Pacome Zouzoua , Khalid Aucho pamoja na Yao Kouassi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso