YANGA WAIFUATA MAMELODI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 2 April 2024

YANGA WAIFUATA MAMELODI
Kikosi cha Yanga kimeondoka nchini leo kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa pili Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Aprili 05, 2024, mchezo wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Benjamini Mkapa ulimalizika 0-0.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso