SERIKALI YASAINI MKATABA WA UJENZI WA UWANJA-ARUSHA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 19 March 2024

SERIKALI YASAINI MKATABA WA UJENZI WA UWANJA-ARUSHA


SERIKALI imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Samia Suluhu Hassan utakaojengwa jijini Arusha na kugharimu Sh bilioni 286.


Akishuhudia utiaji saini, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema dhumuni la kujenga uwanja huo jijini Arusha ni kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya sekta ya utalii kupitia michezo.


Ujenzi wa uwanja huu ni sehemu ya maandalizi ya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi tatu mwenyeji wa michuano ya Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2027. Mataifa mengine ni Kenya na Uganda.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso