SENEGAL AFUNGASHA VIRAGO 16 BORA KOMBE LA AFCON (HUHESO Digital Blog 12:41 0 Bingwa mtetezi Senegal katika Kombe la Mataifa Afrika mwendo ameumaliza kwa kufungashiwa virago na Ivory Coast. Senegal walikuwa ni mabi... Read more »
TFF WAMSIMAMISHA KAZI KOCHA MKUU WA TAIFA STAR (HUHESO Digital Blog 23:52 0 SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemsimamisha kazi Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mualgeria Adel Amrouche na kumteua mzalendo, Hemed Suleiman... Read more »
KATIBU MKUU WA SOKA HISPANIA AFUTWA KAZI (HUHESO Digital Blog 13:16 0 SHIRIKISHO la soka Hispania limemfuta kazi Katibu Mkuu, Andreu Camps na kuomba radhi kwa kilichotokea baada ya fainali ya Kombe la Dunia la ... Read more »
USIKU WA MABINGWA WA ULAYA UNAREJEA LEO (HUHESO Digital Blog 12:18 0 LIGI ya Mabingwa Ulaya inarejea leo ambapo mabingwa watetezi Manchester City wataanza kutetea ubingwa wao katika mchezo wa kwanza dhidi ya C... Read more »
SIMBA YANG'AA NGAO YA JAMII MKWAKWANI TANGA (HUHESO Digital Blog 10:20 0 GOLIKIPA wa Simba SC, Ally Salim Khatoro ameibuka shujaa (The hero) baada ya kudaka penalti tatu kwenye mchezo wa Fainali ya mashindano ya N... Read more »
KLABU YA SIMBA YATUHUMIWA KUDHALILISHA WENYE UALBINO SIKU YA SIMBA DAY (HUHESO Digital Blog 14:05 0 Chama cha watu wenye Ualbino Tanzania (TAS) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu wameitaka klabu ya Simba kuomba radhi kwa tukio waliloit... Read more »
WACHEZAJI SIMBA, YANGA NA SINGIDA FOUNTAIN GATE KUIKOSA NGAO YA JAMII KISA VIBALI (HUHESO Digital Blog 13:12 0 Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema wachezaji 10 wa Azam pekee ndio majina yao yamewasilishwa vibali vyao na wanastahili kucheza mich... Read more »
MASHABIKI WA SIMBA WAMALIZA SIMBA DAY KWA KITOWEO CHA NG'OMBE, MSALALA (HUHESO Digital Blog 10:28 0 Mashabiki wa Simba katika kata ya Kashishi, halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama wakiwa na ng'ombe waliochija siku ya Simba Day na k... Read more »
MGEJA AWAOMBA WADAU WA MICHEZO KUCHANGAMKIA UTASHI WA MHE. RAIS KATIKA MICHEZO (HUHESO Digital Blog 12:05 0 Mashabiki wa klabu ya Simba katika kijiji cha Nyanhembe wakimpokea mgeni rasmi Khamis Mgeja kwenye sherehe ya tawi lao kijijini hapo. Khami... Read more »
YANGA YAKUBALI KUMUACHIA FEISAL SALUM (HUHESO Digital Blog 13:35 0 Baada ya mvutano wa mgogoro wa Kimkataba wa muda mrefu kati ya Yanga SC na Feisal Salum hatimae leo suala hilo limefikia tamati. Yanga SC wa... Read more »
RAIS WA FIFA GIANNI INFANTINO ATUMA SALAMU ZA PONGEZI YANGA (HUHESO Digital Blog 12:05 0 RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Giovanni Vincenzo 'Gianni' Infantino ameipongeza klabu ya Yanga kutwaa ubingwa wa Li... Read more »
SIMBA YATISHA UGENINI YAILAZA VIPERS 1-0 (HUHESO Digital Blog 05:06 0 KLABU ya Simba imefanikiwa kuondoka na alama tatu ugenini baada ya kufanikiwa kuichapa Vipers ya nchini Uganda 1-0, na kufanikiwa kushika na... Read more »
AL HILAL KUTUA NCHINI KUKIPIGA NA AZAM, NAMUNGO NA SIMBA (HUHESO Digital Blog 14:37 0 Klabu ya Al Hilal ya nchni Sudan itaweka kambi Tanzania kujiandaa na mchezo wao wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika ... Read more »
Wimbo Mpyaaa : NGOMA TAMU-SISHA - AMSHA POPO (HUHESO Digital Blog 20:48 1 Msanii Sisha kutoka ShyTown 'Shinyanga! ameachia wimbo Mpya unaitwa Amsha Popo.. Ni Ngoma nzuri sana.. Isikili... Read more »
ARGENTINA MABINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2022 (HUHESO Digital Blog 21:01 0 Ni mechi iliyokuwa na mvuto usiyomithirika baada ya kumaliza dakika 120 wakitoshana nguvu kwa kutoka kwa bao 3-3 na kupiga mikwaju ya penat... Read more »
MBAPE APIGA ATRIKI KWENYE FAINALI YA KOMBE LA DUNIA (HUHESO Digital Blog 20:51 0 Mbape apiga hatriki kwenye fainali ya kombe la Dunia dhidi Ufaransa na Argentina ambapo katika dakika 120 za mchezo wametoshana nguvu ya go... Read more »
MMAREKANI PETER BOBSON KUZICHAPA NA MWAKINYO (HUHESO Digital Blog 10:12 0 Bondia Hassan Mwakinyo amesema amejiandaa vyema kupambana na Peter Bobson wa Marekani katika kuwania mkanda wa WBC Desemba 30 kwenye Uwanja ... Read more »
TEMBO WARRIORS WATINGA ROBO FAINALI KOMBE DUNIA (HUHESO Digital Blog 19:48 0 Timu ya Taifa ya watu wenye ulemavu 'Tembo Warriors' itarajia kushuka uwanjani kwenye uwanja wa TFF Riva jijini Instanbul kumenyana... Read more »
SIMBA YAICHAPA DODOMA JIJI 3 : 0 KWA MKAPA (HUHESO Digital Blog 21:22 0 KLABU ya Simba imeendelea kutoa dozi kwenye Ligi Kuu Tanzania NBC baada ya leo kuichapa Dodoma Jiji Fc kwa mabao 3-0, mchezo ambao ulipigw... Read more »
SIMBA YAWACHAPA BIG BULLETS YA MALAWI 2-0 KWAO. (HUHESO Digital Blog 18:45 0 TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Nyasa Big Bullets katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa ... Read more »