SERIKALI YAPINGA SABAYA KUACHIWA HURU (HUHESO Digital Blog 12:59 0 Ofisi ya Mwendesha Mashitaka nchini (DPP) amekata rufaa kupinga hukumu iliyowaachia huru aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya n... Read more »
WALIOTUHUMIWA KUUA MTOTO WA MIAKA MIWILI WAPATE DHAHABU, MAHAKAMA YAWAACHIA HURU (HUHESO Digital Blog 15:00 0 Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imewaachia huru washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya mtoto Simon Kabula (2) baada ya upande wa Jamhuri kut... Read more »
MAKADA WA CHADEMA WALIOHUKUMIWA KWA UBAKAJI WAACHIWA HURU (HUHESO Digital Blog 16:12 0 Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Shinyanga imewachiwa huru makada wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Katala Kikaja na N... Read more »
HAKIMU AGOMEA KUJITOA KESI YA MFALME ZUMARIDI (HUHESO Digital Blog 13:14 0 Hakimu anayesikiliza kesi ya Jinai namba 12/2022 inayomkabili Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake 83 ametupilia mbali maombi ya... Read more »
MGANGA WA KIENYEJI KUNYONGWA MKOANI RUKWA (HUHESO Digital Blog 16:43 0 Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga imemhukumu mganga wa jadi, James Kapyela (57) kunyongwa hadi kufa, baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuwa... Read more »
ALIEMKASHIFU RAIS SAMIA KWENYE WHATSAPP AHUKUMIWA MIAKA SABA JELA NA FAINI (HUHESO Digital Blog 15:40 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka saba na faini ya Sh15 milioni, Levinus Kidanabi maarufu kama 'Chief... Read more »
DAGAA ZASABABISHA MAMA KUFUNGWA JELA-MTWARA (HUHESO Digital Blog 15:31 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mtwara imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Somoe Mohamed (34) kwa kosa la kumjeruhi mtoto wake wa miaka mitano ... Read more »
AFUNGWA MAISHA KWA UBAKAJI WA MTOTO (HUHESO Digital Blog 14:34 0 Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya ku... Read more »
AFUNGWA MAISHA KWA UBAKAJI WA MTOTO (HUHESO Digital Blog 15:16 0 KULWA Paulo Chamkoko mkazi wa mtaa wa Ghana kata ya Kiloleni Manispaa ya Tabora amehukumiwa kifungo cha Maisha jela baada ya kutiwa hatiani ... Read more »
MWANAMKE AFUNGWA MAISHA KWA KUBAKA MTOTO WA MIAKA 12 (HUHESO Digital Blog 15:37 0 Mahakama ya Rufani Tanzania imethibitisha kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa k... Read more »
ATUPWA JELA KWA UBAKAJI WA MWANAE (HUHESO Digital Blog 14:27 0 Mwanaume mmoja aliefahamika kwa jina la Charles Rebei mwenye umri wa miaka 52 mkazi wa Kiteto mkoani Manyara amehukumiwa kwenda jela miaka 3... Read more »
WIZI WA MILIONI TATU, AHUKUMIWA VIBOKO 12 NA KIFUNGO MIAKA 30 GEREZANI (HUHESO Digital Blog 16:30 0 Kijana Hamisi Said Kibunda (34) mkazi wa Kata ya Kilolambwani, Tarafa ya Mchinga, mkoani Lindi, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 g... Read more »
NEEMA WA MFALME ZUMARIDI AANGUKA KIZIMBANI (HUHESO Digital Blog 16:47 0 Kesi namba 12 inayomkabili Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi, na wenzake 84 ya kufanya mkusanyiko usio halali imelazimika kusimam... Read more »
SABAYA NA WENZAKEWAFIKISHWA MAHAKAMANI (HUHESO Digital Blog 13:47 0 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, kwa aj... Read more »
KIAPO KINZANI CHAKOSEWA JINA KWA MAKUSUDI AU SIO KWA MAKUSUDI-WAKILI AKINA MDEE AELEZA (HUHESO Digital Blog 15:59 0 Wakili wa waleta maombi wa mbunge Halima Mdee na wenzake saba, Ipilinga Panya ameieleza Mahakama kuu, Masjiala Kuu kuwa kiapo kinzani kilich... Read more »
ALIETAKA UTAJIRI WA KUMBAKA MWANAE WA KUMZAA ALIMWA MVUA 30 (HUHESO Digital Blog 14:31 0 Mahakama ya Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe imemuhukumu miaka 30 jela Mwanaume aitwae Joseph Mwajombe (33) Mkazi wa kijiji cha Lula... Read more »
WAFUASI WA CHADEMA WALIOKABILIWA NA MAUAJI WAACHIWA HURU (HUHESO Digital Blog 14:51 0 Aliyekuwa diwani wa Kata ya Isengule Mkoani Katavi Ocsar Sangu na wenzake watano ambao ni wafuasi wa CHADEMA waliokaa mahabusu kwa miaka min... Read more »
AFUNGWA MIAKA 30 KWA KUMLAWITI MTOTO WAKE WA KIKE WA MIAKA 12-MANYARA (HUHESO Digital Blog 15:51 0 Salimu Hassan (42), Mkazi wa Mji Mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro, Mkoa wa Manyara, amehukumiwa miaka 30 kwenda jela baada ya kutiwa hat... Read more »
MFALME ZUMARIDI APATA HAKIMU MPYA KESI YAKE AWALI MAOMBI YAKE YALIKATALIWA (HUHESO Digital Blog 15:37 0 Hakimu Monica Ndyekobora ameondolewa kusikiliza shauri la Jinai namba 12/2022 linalomkabili Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi na wenzake... Read more »
MWANAMKE APIGWA MATEKE TUMBONI NA MUMEWE NA KUFARIKI JAMAA AFUNGWA JELA MIAKA NANE-MWANZA (HUHESO Digital Blog 13:21 0 MAHAKAMA Kuu Tanzania Kanda ya Mwanza, imemhukumu Bahati Marko (45), kifungo cha miaka minane jela kwa kosa la kumuua mkewe, Esta Josefu kwa... Read more »