MICHANGO YA MAENDELO SHULENI RUKSA (HUHESO Digital Blog 16:35 0 Serikali imesema michango yenye kupeleka maendeleo mashuleni haijazuiwa, isipokuwa inachangishwa chini ya wakuu wa wilaya au mtu atakayeteul... Read more »
WAZIRI MKUU ,WATANZANIA TUIOMBEE YANGA ISHINDE FAINALI (HUHESO Digital Blog 15:39 0 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameomba Watanzania kwa imani zao kuungana kwa ajili ya kuiombea timu ya Yanga ambayo inasafiri leo kuelekea Alge... Read more »
JNHPP KUANZA KUZALISHA UMEME (HUHESO Digital Blog 14:17 0 Serikali imetangaza kuwa, wiki moja ijayo kina cha maji katika bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) litakuwa na uwezo wa kuan... Read more »
MAJADILIANO YA SERIKALI NA BUNGE YAKWAMISHA MUSWADA WA BIMA YA AFYA KWA WOTE (HUHESO Digital Blog 13:32 0 Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote ambao ulikuwa ujadiliwe bungeni leo Ijumaa na kukamilisha hatua zote tatu, umeahirishwa hadi hapo mashauria... Read more »
BIBI WA MBUNGE MWIJAGE ASAFIRISHWA KWA MSHIKAKI KUPELEKWA GEREZANI AOMBA KUUNDWA TUME YA UCHUNGUZI WA POLISI (HUHESO Digital Blog 12:11 0 Mbunge wa Muleba Kaskazini (CCM), Charles Mwijage ameomba Serikali kuunda tume ya kuchunguza tabia ya Polisi kukwepa gharama za kusafirisha ... Read more »
WANAFUNZI WA KIKE KUJENGEWA VYUMBA VYA KUJISITIRI SERIKALI YATOA TAMKO (HUHESO Digital Blog 11:39 0 Serikali imeziagiza halmashauri zote kujenga vyumba vya kujisitiri kwa wanafunzi wa kike ili kuwasaidia wakati wakiwa katika hedhi na hivyo ... Read more »
MILIPUKO YA MABOMU WANANCHI WALIPWA BILIONI 17 DAR ES SALAAM (HUHESO Digital Blog 13:10 0 Jumla ya Sh17.4 bilioni zimetumika kutoa mkono wa pole kwa wananchi 12,647 walioathirika na milipuko ya mabomu yaliyotokea katika kambi ya J... Read more »
MBUNGE ATAKA BODABODA WAKAMATWE WANAOVUKA TAA NYEKUNDU ZIMEWAKA (HUHESO Digital Blog 16:09 0 Mbunge wa jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba, ameiomba serikali kutoa tamko rasmi kwamba dereva yeyote wa bodaboda atakayepita kwenye taa nyek... Read more »
BILIONI 800 ZAHITAJIKA KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI HESLB WAITWA KUJIELEZA BUNGENI (HUHESO Digital Blog 15:59 0 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), i... Read more »
HESLB WAITWA KUJIELEZA IJUMAA KUHUSU MIKOPO YA WANAFUNZI JE NI KUBURI AU (HUHESO Digital Blog 15:29 0 Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), kufika katika Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Ijumaa... Read more »
SPIKA TULIA AOMBA UFAFANUZI WA SAMAKI "CHANGUDOA" (HUHESO Digital Blog 17:30 0 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, juzi Septemba 23, 2022, Bungeni jijini Dodoma aliomba ufafanuzi wa aina... Read more »
MUSWADA WA BIMA KWA WOTE WASOMWA KWA MARA YA KWANZA BUNGENI (HUHESO Digital Blog 15:51 0 Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote umewasilishwa bungeni ambapo mwajiri wa sekta ya umma na binafsi rasmi atapaswa kumsajili mwajiri... Read more »
BUNGE LAAHIRISHWA HADI SEPTEMBA (HUHESO Digital Blog 14:47 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inakusudia kupima utendaji wa Wakurugenzi na Wakuu wa Idara kwa kutumia viashiria muhimu husus... Read more »
BEI YA VING'AMUZI YASHUSHWA NA SERIKALI (HUHESO Digital Blog 13:25 0 Serikali imepunguza tozo ya ving’amuzi nchini kufikia Sh500 hadi Sh2000 kwa kadri ya matumizi ya mteja baada ya majadiliano na Kamati ya Bun... Read more »
KILA MTANZANIA MWENYE UMRI KUANZIA MIAKA 18 KULIPA KODI (HUHESO Digital Blog 22:33 0 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila Mtanzania ... Read more »
BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2022/23 YAWASILISHWA BUNGENI (HUHESO Digital Blog 19:52 0 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akionesha Mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/23 alipowasili k... Read more »
KIDATO CHA TANO NA SITA BURE SERIKALI YATANGAZA. (HUHESO Digital Blog 19:36 0 Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amependekeza kufutwa ada ya kidato cha tano na cha sita hatua ambayo inalenga kuwapunguzia g... Read more »
BAJETI YA SERIKALI KUBEBA MATUMAINI YA WATANZANIA-DKT NCHEMBA (HUHESO Digital Blog 16:49 0 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kwamba hotuba ya bajeti kuu ya serikali atakayoisoma hii leo itakuwa imebeba matuma... Read more »
DENI LA TAIFA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 14.4 (HUHESO Digital Blog 12:50 0 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni ikilinganishwa n... Read more »
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA KAULI BUNGENI JITIHADA YA SERIKALI KUKABILIANA NA WANYAMA KWA WANANCHI (HUHESO Digital Blog 14:51 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali kwa sasa inaimarisha mifumo itakayozuia wanyamapori wakiwemo tembo kuingia katika makazi ya wa... Read more »