MILIPUKO YA MABOMU WANANCHI WALIPWA BILIONI 17 DAR ES SALAAM - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 2 November 2022

MILIPUKO YA MABOMU WANANCHI WALIPWA BILIONI 17 DAR ES SALAAM



Jumla ya Sh17.4 bilioni zimetumika kutoa mkono wa pole kwa wananchi 12,647 walioathirika na milipuko ya mabomu yaliyotokea katika kambi ya Jeshi la Wananchi Mbagala jijini Dar es Salaam.


Mabomu hayo yalilipuka Aprili 29, 2009 katika Kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ) KJ 671 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 25, huku mamia ya watu wakijeruhiwa na familia nyingi kukosa makazi baada ya nyumba zao kubomoka kabisa.


Akijibu swali bungeni leo Novemba 2, 2022 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu George Simbachawene ambaye amesema kilichotokea ni mkono wa pole siyo fidia.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso