MKUU WA MKOA SHINYANGA SOPHIA MJEMA ATEULIWA KUWA KATIBU MWENEZI WA CCM. (HUHESO Digital Blog 18:23 0 Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi " CCM" Taifa, imefanya mabadiriko madogo ya Wajumbe wa Sekretarieti, huku Sophia Edward M... Read more »
MITI ELFU MOJA YAPANDWA NA JESHI LA POLISI, SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 15:43 0 Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga kushirikiana na wadau mbalimbali limeendesha zoezi la upandaji miti ikiwa ni mkakati wa kuunga mkono agizo ... Read more »
WIVU WA MAPENZI WASABABISHA KIFO CHA MWANAMKE ,SHINYANGA. (HUHESO Digital Blog 15:34 0 Joyce masanja (30-35) Mkazi wa Mtaa wa kalonga Manispaa ya Shinyanga anasadikiwa kuuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali na mtu asiyefah... Read more »
Wimbo Mpyaaa : NGOMA TAMU-SISHA - AMSHA POPO (HUHESO Digital Blog 20:48 1 Msanii Sisha kutoka ShyTown 'Shinyanga! ameachia wimbo Mpya unaitwa Amsha Popo.. Ni Ngoma nzuri sana.. Isikili... Read more »
AMCHINJA MKE WAKE NA MWILI KUUTUPA MTONI JIJINI MBEYA KISA AKIMTUHUMU KUCHEPUKA NA JAMAA MWINGINE (HUHESO Digital Blog 18:43 0 Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia, Mapinduzi Siliya (45) kwa tuhuma za kumuua mkewe, Terezia Mtajiha. Siliya anadaiwa kumchinja kwa... Read more »
ASHIKILIWA BAADA YA MKE WAKE MZIMBABWE KUFARIKI AKIWA ANAVUJA DAMU MDOMO AKITIBIWA PWANI (HUHESO Digital Blog 18:27 0 MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Michael anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kutokana na utata wa kifo cha anayedaiwa kuwa mke ... Read more »
MOROCCO WASUSIA MICHUANO YA CHAN INAYOANZA KUTIMUA VUMBI KESHO IJUMAA WAJIONDOA KISA NDEGE (HUHESO Digital Blog 18:20 0 Morocco imejiondoa katika kutetea taji lao la Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwezi huu baada ya kukataliwa kusafiri moja kwa moja hadi ... Read more »
WALIKUWA WANATUKANANA VIPIMO VILIKUWA HAVIJAISHA MUDA WAKE, NI WAUUGUZI WALIOSAMBAA MTANDAONI WAKITUKANANA (HUHESO Digital Blog 18:14 0 Takribani wiki moja tangu kusambaa kwa video ya watumishi wawili wa afya wakibishana juu ya matumizi ya vipimo vilivyosadikika kuisha muda w... Read more »
KUNDI LA 17 LAONDOKA NGORONGORO (HUHESO Digital Blog 16:59 0 Kundi la 17 lenye jumla ya kaya 34 na watu 179 pamoja na Mifugo 625 leo Januari 12 limeondoka rasmi kutoka eneo la hifadhi ya Ngorongoro ku... Read more »
KERO YA UHABA WA MBOLEA NCHINI KUWA HISTORIA IFIKAPO 2030 (HUHESO Digital Blog 15:27 0 Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha mbolea Itracom, Nduwimana Nazaire (katikati) akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari walipotembelea eneo... Read more »
WAATHIRIKA WA TOPE LA MGODI WA WILLIUMSON DIAMOND WAUOMBA UONGOZI KUWALIPA FIDIA HARAKA,HATUNA CHAKULA NA SEHEMU YA KULIMA,SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 15:10 0 Mhandisi Ayoub Mwenda akizungumza katika mkutano uliowakutanisha waathirika wa tope la mgodi wa Williumson Diamond pamoja na uongozi wa Halm... Read more »
VIDEO MPYA - NTEMI OMABALA - MZEE JOHN KASANGA (HUHESO Digital Blog 05:49 0 Tafadhali pata nafasi ya kusikilza wimbo mpya wa Mtemi wa nyimbo za asili Ntemi Omabala Read more »
AKATISHA MASOMO BAADA YA KUBAINIKA KUWA NA MIMBA YA MIEZI 7 - SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 05:36 0 Binti Mwenye miaka 13 mkazi wa Pandagichiza Halmashauri ya Shinyanga amekatisha masomo yake baada ya kupewa ujauzito akiwa darasa la sita ka... Read more »
MAGAZETI YA LEO ALHAMIS TAREHE 12 JANUARI 2023 (HUHESO Digital Blog 05:15 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Alhamis tarehe 12 Januari 2023 Read more »
MINARA YA MAWASILIANO KUJENGWA MKOANI MOROGORO KUCHOCHEA UCHUMI (HUHESO Digital Blog 13:58 0 Na Immaculate Makilika – WHMTH Huduma za mawasiliano ni za msingi katika maisha ya wananchi kwa vile zinagusa nyanja za kijamii, kiuchumi na... Read more »