AMCHINJA MKE WAKE NA MWILI KUUTUPA MTONI JIJINI MBEYA KISA AKIMTUHUMU KUCHEPUKA NA JAMAA MWINGINE - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 12 January 2023

AMCHINJA MKE WAKE NA MWILI KUUTUPA MTONI JIJINI MBEYA KISA AKIMTUHUMU KUCHEPUKA NA JAMAA MWINGINE


Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia, Mapinduzi Siliya (45) kwa tuhuma za kumuua mkewe, Terezia Mtajiha.


Siliya anadaiwa kumchinja kwa kutumia kisu kisha mwili kuutupa mto Nzovwe jijini humo.


Kamanda wa Polisi mkoani humo, Benjamin Kuzaga amesema tukio hilo limetokea jana Jumatano Januari 11, 2022 na kwamba mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya rufaa kanda ya Mbeya kwa uchunguzi wa kitabibu.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso