MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 11 JANUARI 2023 (HUHESO Digital Blog 07:10 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatano tarehe 11 Januari 2023 Read more »
TANZANIA YAPOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MLIPUKO KUTOKA LONDON (HUHESO Digital Blog 16:13 0 Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa vifaa vya kujikinga na magonjwa ya mlipuko kwa ajili ya watumishi wanaotoa huduma za afya na wateja ... Read more »
ELIMU INAHITAJIKA KWA WANANCHI KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE (HUHESO Digital Blog 16:08 0 Serikali imeagiza kutolewa kwa elimu ya bima ya afya kwa wote kuelekea kipindi hiki cha kusomwa tena Bungeni kwa Muswada wa Bima ya Afya kwa... Read more »
MWILI WA KICHANGA WAOKOTWA NA RAIA WEMA KWENYE BOMBA (HUHESO Digital Blog 13:52 0 Wakaazi wa eneo la Kawangware Nairobi nchini Kenya, wamebaini mwili wa mtoto mchanga uliotupwa kwenye bomba la maji taka. Mwili huo uligundu... Read more »
WANAFUNZI KUPEWA MITI YA KUPANDA WANAPOANZA SHULE NA WAITUNZE (HUHESO Digital Blog 13:24 0 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza na wananchi wakati wa zoezi la la upandaj... Read more »
SHULE BINAFSI ZATAKIWA KILA BASI LAKE KUWE NA MATRON WATAKAOKAIDI KUSHUGHULIKIWA (HUHESO Digital Blog 12:05 0 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Godwin Gondwe amezitaka Shule zote za binafsi ndani ya Wilaya hiyo kuhakikisha zinaweka Msaidizi wa kike (Matro... Read more »
WAKAZI MSUMBIJI KOLANDOTO WALIA NA CHANGAMOTO YA MAJI,TUNAKUNYWA MAJI YENYE WADUDU,SHINYANGA. (HUHESO Digital Blog 17:26 0 Wakazi wa kitongoji cha Msumbiji Kijiji cha Mwamagunguli Kata ya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga wameiomba serikali na mamlaka ya maji Mkoa... Read more »
UPANDAJI MITI KUONGOZWA NA MAKAMU WA RAIS MPANGO KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 14:09 0 MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kuwaongoza wananchi wa Jiji la Dodoma kupanda m... Read more »
MOTO UMEWASHWA HATUNA PRESHA VYAMA VYA SIASA VISEME UKWELI KWA WATU SIO KUVAA MIWANI YA MBAO (HUHESO Digital Blog 13:22 0 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Kashindye Mlolwa akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Januari 7,2023 katika ofisi... Read more »
WATUMISHI WA AFYA ISHIHIMULWA WASIMAMISHWA KAZI (HUHESO Digital Blog 12:37 0 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuwa mwaka huu serikali haitakuwa na msamaha kwa mtumishi yoyote ambaye atakwenda kinyume na miongozo na... Read more »
WANANDOA WAFARIKI KWA JIKO LA MKAA WAKATI WAKIPATA JOTO (HUHESO Digital Blog 17:38 0 Watu wawili, wanandoa wamekutwa wamepoteza maisha siku ya Jumanne katika nyumba moja, jimbo la kaskazini mwa Nigeria la Kano kwa kudaiwa kuv... Read more »
AJALI YAUA WATU WATATU TANGA KWA MALORI MAWILI KUGONGANA USO KWA USO (HUHESO Digital Blog 16:47 0 Watu watatu wamefariki usiku wa kuamkia leo Ijumaa baada ya lori lililokuwa limebeba gesi kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso. Kwa mu... Read more »
SERIKALI YASEMA BILA BIMA YA AFYA HUPATI HUDUMA, UKITAKA HUDUMA ONESHA KIBALI CHA BIMA, 2026 (HUHESO Digital Blog 15:54 0 Serikali imesema muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ukipitishwa na kuwa sheria na kuanza kutumika mwaka huu, mwananchi yoyote ambaye... Read more »
WATU 16 WAFARIKI DUNIA KWA AJALI YA BASI KULIGONGA LORI LILILOPAKIWA 12 WAKIPOTEZA MAISHA PAPO HAPO (HUHESO Digital Blog 13:05 0 Picha hii sio halisia na picha za ajali yenyewe nchini Uganda Takriban watu 16 wameuawa wakati basi la abiria lilipogonga lori moja Ijumaa a... Read more »
AUA MAMA MKWE, MKE WAKE, WATOTO WAKE WATANO NA YEYE KUJIUA KISA TALAKA YA MKE (HUHESO Digital Blog 12:07 0 Michael Haight mwenye umri wa miaka 42 nchini Marekani amemuua mke wake, mama mkwe na watoto wake 5 na yeye kujiua baada ya mke wake kuwasil... Read more »