WANANCHI WASHAURIWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUPIMA AFYA ZAO KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA, KUEPUKA KUZAA WATOTO WENYE UGONJWA WA SELI MUNDU
(HUHESO Digital Blog
16:35
0
UGONJWA wa selimundu (Sickle Cell Desease) kwa watoto wachanga, unaweza kupunguzwa au kukatwa mnyororo wa thamani endapo wanaotarajiwa kuing...