JITIBU URIC ACID NYINGI, MAUMIVU YA MIFUPA NA PRESHA YA JUU - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday, 23 May 2025

JITIBU URIC ACID NYINGI, MAUMIVU YA MIFUPA NA PRESHA YA JUU



📢KUNA UHUSIANO MKUBWA KATI YA URIC ACID NYINGI, MAUMIVU YA MIFUPA NA PRESSURE YA JUU

Je, unajua kuwa kiwango kikubwa cha uric acid mwilini kinaweza kusababisha maumivu makali ya mifupa na hata shinikizo la damu (pressure) kuwa juu? Hali hii inajulikana kitaalamu kama hyperuricemia – na kama haitadhibitiwa mapema, inaweza kuleta madhara makubwa kiafya.
Uric Acid Inatoka Wapi?

Uric acid ni zao la mwisho la kuvunjika kwa purine na fructose – vitu vinavyopatikana sana kwenye vyakula kama nyama nyekundu, baadhi ya mboga na vinywaji vyenye sukari nyingi. Kwa kawaida, uric acid hutolewa nje ya mwili kupitia mkojo kwa msaada wa figo. Lakini inapotokea figo haziwezi kuiondoa ipasavyo, huanza kujikusanya kwenye mwili – hasa kwenye joint kama vidole, magoti na miguu.
Madhara Ya Hyperuricemia


Maumivu ya Mifupa: Uric acid ikijikusanya kwenye joints husababisha maumivu makali, kuvimba na hatimaye huweza kupelekea gout – hali ya kuvimba kwa joint, kukauka kwa uteute wa kulainisha viungo (synovial fluid) na kupinda kwa mifupa.


Shinikizo la Damu (High Blood Pressure): Hyperuricemia pia imehusishwa na hypertension kutokana na sababu kadhaa:


Endothelial Dysfunction: Uric acid huathiri kuta za ndani za mishipa ya damu, kupunguza nitric oxide, na hivyo kusababisha mishipa kusinyaa – hali inayochangia pressure kupanda.


Madhara kwa Figo: Inaweza kusababisha vimbe au kuharibu mishipa midogo ya figo, hivyo kupunguza uwezo wa figo kuchuja taka na kuongeza kiwango cha chumvi mwilini – moja kwa moja huongeza pressure.


Uanzishaji wa Mfumo wa Renin-Angiotensin: Huu ni mfumo wa mwili unaohusika na kuongeza pressure kwa kubana mishipa na kuongeza maji mwilini. Uric acid huuchochea kufanya kazi kupita kiasi.
Matibabu Yanayopendekezwa
Kwa Uric Acid:

💊Novel Depile Capsules
Husaidia kuyeyusha na kuondoa uric acid iliyojikusanya kwenye joints.
Hupunguza dalili za gout na kuimarisha afya ya mishipa ya damu kwa kupunguza vimbe.
Kwa Blood Pressure:

🩺PressureFree Tea (Revelin Tea)
Hushusha pressure na kupunguza cholesterol.
Huongeza uwezo wa mishipa ya damu kupanuka na kuboresha mzunguko wa damu.

Vingine vya kusaidia ni:
Zaminocal
Pure
Micro2

Ni muhimu kushauriana na daktari kabla ya kutumia virutubisho hivi au kubadilisha mfumo wako wa tiba.

Afya ni mtaji – chukua hatua leo!

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso