NAZIR KARAMAGI ASHINDA UENYEKITI WA CCM MKOA WA KAGERA (HUHESO Digital Blog 14:23 0 Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Vijijini mwaka 2005 hadi 2010 Nazir Karamagi, ametangazwa kuwa mshindi katika nafasi ya... Read more »
RUSHWA YASABABISHA UCHAGUZI NDANI YA CCM KUFUTWA (HUHESO Digital Blog 18:03 0 Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili za r... Read more »
WAGOMBEA UWENYEKITI CCM MKOA WA SHINYANGA WAWEKWA HADHARANI (HUHESO Digital Blog 16:23 0 Na Mwandishi Wetu , SHINYANGA KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga Donald Magesa, ametaja majina ya wagombea wa nafasi ya M... Read more »
RASMI: JAMES MBATIA BYE BYE NCCR-MAGEUZI (HUHESO Digital Blog 14:00 0 Ikiwa imepita miezi mitano tangu kuibuka kwa mvutano wa makada ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini i... Read more »
MGEJA AGOMEA MATOKEO,BAADA YA NGELELA KUTANGAZWA MSHINDI TENA UCHAGUZI WA MARUDIO NAFASI YA UENYEKITI CCM WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI (HUHESO Digital Blog 13:42 0 CHAMA cha Mapinduzi CCM wilaya ya Shinyanga Vijijini kimefanya uchaguzi wa marudio kwa nafasi ya Uenyekiti, pamoja Katibu wa Itikadi na Uene... Read more »
THOMAS ASHINDA TENA UENYEKITI CCM KAHAMA MJINI (HUHESO Digital Blog 15:45 0 Mshindi wa kiti cha uenyekiti wilaya ya Kahama kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Thomas Muyonga akiwashukuru wajumbe baada ya kumchagua kwa ... Read more »
WAGOMBEA WAWILI SHINYANGA VIJIJINI WAJIONDOA UCHAGUZI CCM (HUHESO Digital Blog 22:56 0 Wagombea nafasi ya Mwenyekiti CCM wilaya ya Shinyanga vijijini, (wakwanza kushoto) ni Edward Ngelela, na (wapili kutoka kulia) ni Mwenzetu... Read more »
HAYA HAPA MAJINA YA WALIOTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA UENYEKITI WA CCM WILAYA NCHI NZIMA (HUHESO Digital Blog 10:47 0 Orodha ya majina ya walioteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CCM wilaya kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya m... Read more »
CHADEMA MKIVUTIE SUBIRA KIKOSI CHA MHE. RAIS SAMIA-MGEJA (HUHESO Digital Blog 16:08 0 MWENYEKITI wa Taasisi ya Tanzania Mzalendo Foundation ya mjini Kahama mkoani Shinyanga, Khamis Mgeja amekitahadharisha Chama cha Demokrasia ... Read more »
CHADEMA YAMUELEKEZA CAG KUICHUGUZA NHIF KWANINI INA HALI MBAYA KIFEDHA (HUHESO Digital Blog 15:25 0 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitaka Serikali kutoa taarifa ya sababu za hali mbaya ya kifedha iliyoutokea Mfuko wa Taifa w... Read more »
CHAMA CHA MAPINDUZI CHAITAKA SERIKALI KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI KUHUSU TOZO (HUHESO Digital Blog 17:32 0 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imekutana katika kikao chake maalum Jana September 07, 2022 chini ya Mwenyekiti CCM na Rais wa Ta... Read more »
WILLIAM RUTO KUAPISHWA JUMANNE BAADA YA MAHAKAMA KUTUPILIA MBALI KESI YA KUPINGA UCHAGUZI (HUHESO Digital Blog 14:45 0 Rais mteule wa Kenya, William Ruto ataapishwa Jumanne Septemba 13, 2022. Hiyo ni baada ya Mahakama ya Juu nchini Kenya kutupilia mbali maom... Read more »
ODINGA CHALII MAHAKAMA YAIDHINISHA USHINDI WA RUTO (HUHESO Digital Blog 14:16 0 Mahakama ya Juu imeona kwamba walalamishi hawakutoa ushahidi wa kutosha kubatilisha matokeo kwa msingi kwamba kiwango cha kikatiba cha 50% +... Read more »
MAKADA CHADEMA WALIOKUWA WANAANDAA UWANJA WA MKUTANO WAKAMATWA (HUHESO Digital Blog 17:35 0 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linadaiwa kumkamata Katibu wa Chadema wilaya ya Nyamagana, David Nyakimwe na mwanachama mwingine wa chama hic... Read more »
ACT-WAZALENDO YAPITISHA MAJINA WAGOMBE UBUNGE WENGI KURA ZIMEPUNGUA (HUHESO Digital Blog 14:08 0 Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo, iliyoketi kwa siku mbili mfululizo imewapitisha Ado Shaibu na Pavu Abdallah kuwania nafasi ya ubunge wa Jumuiya... Read more »
WALIOGOMBEA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAITWA NA CCM DODOMA (HUHESO Digital Blog 15:21 0 Chama cha Mapinduzi kimewaita wanachama wake wote waliomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Bunge la Afrika Mashariki kufika kwenye kikao cha se... Read more »