ODINGA CHALII MAHAKAMA YAIDHINISHA USHINDI WA RUTO - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 5 September 2022

ODINGA CHALII MAHAKAMA YAIDHINISHA USHINDI WA RUTO



Mahakama ya Juu imeona kwamba walalamishi hawakutoa ushahidi wa kutosha kubatilisha matokeo kwa msingi kwamba kiwango cha kikatiba cha 50% + 1 cha ushindi wa moja kwa moja hakikufikiwa.


Mahakama ya Juu imegundua kwamba walalamishi hawakuwasilisha kesi yenye uzito na kufikia uwezo wa kubatilisha matokeo kwa msingi kwamba kiwango cha katiba cha mgombea kupata kura 50% na kura moja (1) ili kuibuka na ushindi wa moja kwa moja hakikufikiwa.


Mahakama ya Juu imesema kuwa William Ruto alipata zaidi ya 50% pamoja na kura moja ya kura zote zilizopigwa.

Chanzo:BBC

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso