MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 14 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:13 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumapili tarehe 14 Agosti 2022 Read more »
MAYELE ALETA KILIO SIMBA, YANGA MABINGWA NGAO YA JAMII 2022/23 (HUHESO Digital Blog 21:57 0 Klabu ya Young Africans imefanikiwa kutwaa kombe la Ngao ya Jamii dhidi ya klabu ya Simba Sports Club kwa mwaka wa msimu 2022/2023. Na Sai... Read more »
RAIS SAMIA KUFANYA ZIARA MKOANI TANGA HIKI NDIO ATAKIFANYA (HUHESO Digital Blog 18:39 0 RAIS Samia Suluhu anatarajiwa kuwasili kesho mkoani Tanga kwa ajili ya ziara ya siku mbili mkoani Tanga ambapo akiwa mkoani hapa atazindua... Read more »
UCHAGUZI: MATOKEO YA AWALI ODINGA ANAONGOZA KWA ASILIMIA 52 (HUHESO Digital Blog 18:34 0 Mwanasiasa mkongwe wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga anaongoza kwa kura kidogo katika kinyang'anyiro cha kuwania urais dhidi ya naib... Read more »
MCHUNGAJI MBARONI KWA TUHUMA ZA KULAWITI MTOTO MJINI SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 18:32 0 Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikiria Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Makedonia ya Lubaga... Read more »
WATOTO 100 KATI YAO 47 WAMEDUMAA IRINGA SERIKALI YATOA TAMKO (HUHESO Digital Blog 14:07 0 Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema katika kila watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano katika Mkoa wa Iringa, 47 wamedumaa kutokana na... Read more »
MWALIMU AUAWA KWA KUPIGWA MAWE (HUHESO Digital Blog 13:45 0 Mfano wa mtu aliyelala barabarani Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbaju Masasi mkoani Mtwara Mwanahawa Shaibu (50) ameuwa kwa kush... Read more »
NYARAKA ZA SIRI NZITO MAREKANI ZAKAMTWA NYUMBANI KWA TRUMP (HUHESO Digital Blog 13:28 0 Shirika la Upelelezi wa ndani la Marekani, FBI limegundua nyaraka zenye siri nzito za serikali kutoka katika makaazi binafsi ya rais wa zama... Read more »
LESENI 470 ZA TANZANITE KUFUTWA HIVI KARIBUNI KWA KUDAIWA MAMILIONI YA FEDHA (HUHESO Digital Blog 13:05 0 Leseni za wamiliki 470 wa migodi ya madini ya Tanzanite wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara zipo mbioni kufutwa kuto... Read more »
WASIMAMISHWA KAZI KWA KUISABABISHIA HASARA SERIKALI YA MILIONI 709 (HUHESO Digital Blog 20:30 0 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Saada Mkuya amewasimamisha kazi wafanyakazi watano wa Bodi ya Mapato Zanzibar (Z... Read more »
IGP WAMBURA AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI (HUHESO Digital Blog 20:14 0 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya makamanda wa Polisi wa mikoa. Kwa mujibu wa t... Read more »
MTANZANIA ADAKWA AKIWA NA WAHAMIAJI HARAMU (HUHESO Digital Blog 15:41 0 Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Jeshi la uhamiaji mkoani Kilimanjaro wamefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 47 raia wa Ethiopia walioi... Read more »
MWANAMKE AKATWA MAPANGA NZEGA MUME WAKE AKIWA AMEENDA KUNUNUA ALIZETI (HUHESO Digital Blog 15:05 0 Mkazi mmoja wa kitongoji cha Mwamakumbi (B) kikiji cha Nhabala Kata ya Nhalanga wilayani Nzega mkoani Tabora, Elizabeth Samson Ngudungi (35... Read more »
WAHADHIRI MTEGONI MWA TAKUKURU WANAFUNZI WATAKIWA KUVUNJA UKIMYA (HUHESO Digital Blog 16:39 0 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Shinyanga imewataka wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu na vyuo vya kati kuvunja ... Read more »
MBARONI KWA KUPANGA KUMUUA ALIEMHISI KUCHEPUKA NA MKE WAKE MDOGO (HUHESO Digital Blog 15:03 0 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi Ally Hamad Makame akitoa taarifa kwa wandishi wa Habari juu ya kukamatwa kwa mtuhumiwa aliyekuwa amepan... Read more »