BABA AMNAJISI MWANAE WA MIAKA 10 HOSPITALINI (HUHESO Digital Blog 16:59 0 Polisi katika Kaunti ya Kakamega wamemkamata mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 40 kwa tuhumza za kumnajisi binti yake mwenye umri wa miak... Read more »
UHABA WA KONDOMU WALETA KIZAZAA KENYA (HUHESO Digital Blog 16:47 0 Wasiwasi unashuhudiwa katika Kaunti ya Bungoma kufuatia uhaba wa mipira ya ngono - uhaba ambao umekumba kaunti hiyo ya ukanda wa Magharibi k... Read more »
HAKIMU ADAIWA KUJIUA KWA KUNYWA SUMU - SUMBAWANGA (HUHESO Digital Blog 16:38 0 Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Michael Royan (31) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumb... Read more »
KICHANGA CHAZIKWA KIKIWA HAI KWA LENGO LA KUPATA UTAJIRI - MAGU (HUHESO Digital Blog 16:16 0 Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Zawadi Msagaja mkazi wa Kijiji cha Mahaha wilayani Magu aliyemzika mtoto wake akiwa hai kwa kile... Read more »
WATOTO LAKI 521 WATARAJIA KUPATIWA CHANJO YA MATONE YA POLIO MKOA SHINYANGA. (HUHESO Digital Blog 16:05 0 Mratibu wa chanjo Mkoa Shinyanga,Timoth Sosoma amewaasa wananchi kujitokeza na kuondokana na Imani potofu katika zoezi la kupewa chanjo ya ... Read more »
MWANAFUNZI ADAIWA KUBAKWA NA WATU WAWILI AKITOKA KWENYE MSIBA WA MAMA (HUHESO Digital Blog 15:55 0 Mwanafunzi wa shule ya sekondari Town(Jina lake limehifadhiwa) (17),mkazi wa Mwamala Kata ya Masekeleo Manispaa Shinyanga, Adaiwa kubakwa na... Read more »
POLISI WA KIKE AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI, ALIACHA UJUMBE WHATSAPP STATUS (HUHESO Digital Blog 16:17 0 Maafisa wa upelelezi katika Kaunti ya Kiambu wameanzisha uchunguzi katika kifo tatanishi cha afisa wa polisi mwanamke katika kituo cha polis... Read more »
WANAUME WATAKIWA KUPIMA UKIMWI (HUHESO Digital Blog 16:03 0 Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga, amewakumbusha wanaume wenzake kujenga tabia ya kwenda vituo vya kutolea huduma kupima Afya zao,ukiw... Read more »
UKATILI AFRIKA NI WA KIWANGO CHA JUU (HUHESO Digital Blog 15:52 0 Umoja wa Mataifa unasema kwamba Wanawake na wasichana barani Afrika wako katika hatari kubwa ya kuuawa na wapenzi wao wa karibu au wanafamil... Read more »
MTOTO ANUSURIKA NA KIFO KWA KUSHAMBULIWA NA CHATU (HUHESO Digital Blog 15:48 0 Mvulana mwenye umri wa miaka mitano raia wa Australia amenusurika kifo baada ya kuumwa na chatu ambaye ppia alimburuta hadi kwenye bwawa la ... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 26 NOVEMBA 2022 (HUHESO Digital Blog 00:13 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumamosi tarehe 26 Novemba 2022 Read more »
ZOEZI LA KUIAGA MIILI YA WATOTO WALIOUNGUA NA MOTO BUHANGIJA,RC MJEMA ASEMA SERIKALI IMETOA USAFIRI. (HUHESO Digital Blog 16:15 0 Mkuu wa Mkoa Shinyanga Sophia Mjema ametoa pole kwa wazazi wa watoto waliopoteza maisha katika ajali ya moto uliowaka kwenye moja ya Mabweni... Read more »
MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 25 NOVEMBA 2022 (HUHESO Digital Blog 00:18 0 Tafadahali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Ijumaa tarehe 25 Novemba 2022 Read more »
WANAFUNZI WATATU WASIOONA WAPOTEZA MAISHA KWA AJALI YA MOTO,RC MJEMA AWATAKA MATRON WAWE WANALALA NDANI,SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 14:20 0 Mkuu wa mkoa shinyanga,Sophia Mjema amewataka viongozi katika shule za mabweni zilizopo mkoani humo kuimarisha uangalizi na usimamizi wa wat... Read more »
SIMBA NGOMA NZITO WALAZIMISHWA SARE NA MBEYA CITY (HUHESO Digital Blog 18:07 0 KLABU ya Simba imelazimishwa sare ya mabao 1-1 dhidi ya timu ya Mbeya City, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Sokoine Mbeya. NA EMMANUE... Read more »