ALIETAKA UTAJIRI WA KUMBAKA MWANAE WA KUMZAA ALIMWA MVUA 30 (HUHESO Digital Blog 14:31 0 Mahakama ya Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe imemuhukumu miaka 30 jela Mwanaume aitwae Joseph Mwajombe (33) Mkazi wa kijiji cha Lula... Read more »
WATUMISHI WANNE WALIOOMBA UHAMISHO HALMASHAURI YA MSALALA WATIMULIWA KAZI YUMO MUWEKA HAZINA (HUHESO Digital Blog 14:14 0 Watumishi wanne wa halmsahauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamefukuzwa kazi baada ya kufanya uzembe na kumsababishia hasara ... Read more »
UNUNUZI WA LUKU KUPOTEA KWA SIKU NNE-TANESCO YATHIBITISHA (HUHESO Digital Blog 14:00 0 Wananchi hawataweza kununua umeme kwa njia ya Luku kwa siku nne, Agosti 22 - 25, 2022 kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi kutokana na mat... Read more »
MUDA HAUJAFIKA KUWASEMA VIBAYA KOCHA MAKI NA MSHAMBULIAJI DEJAN WA SIMBA (HUHESO Digital Blog 10:57 1 NI vigumu sana kwangu kuamini kwamba Simba wanaweza kuwa wamekosea sana kumpeleka kwao kocha Maki baada ya mchakato wa nguvu wa kumpata. ANA... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 17 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 07:09 0 Tafadhali pitia kursa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatano tarehe 17 Agosti 2022 Read more »
JAMAA AKATA SEHEMU ZA SIRI KWA KISU NDOTONI (HUHESO Digital Blog 18:02 0 Mwanaume mmoja nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 42 anapambania kuokoa maisha yake baada ya kuzikata sehemu zake za siri na kisu ndotoni... Read more »
WANAKIJIJI BWEYUNGE MKOANI KAGERA WAPANIA KILIMO CHA MICHIKICHI (HUHESO Digital Blog 17:40 0 WANANCHI katika kijiji cha Bweyjnge,kilichoko kata ya Kanyigo wilayani Missenyi,wamekubaliana na azimio la Halmashauri ya kijiji kuhusu kute... Read more »
WAKULIMA KUJISAJILI KUPATA MBOLEA ZA RUZUKU YA SERIKALI (HUHESO Digital Blog 16:49 0 Mkuu wa Mkoa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian akiongea na waandishi wa habari juu ya upatikanaji wa molea ya Ruzuku iliyotolewa na serikal... Read more »
NANE WAFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI MBEYA (HUHESO Digital Blog 14:14 0 Watu nane wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao haijafahamika wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea leo Jumanne, Agosti 16, 202... Read more »
MWANAMKE ALIWA MAMBA KUTOKANA NA ADHA YA MAJI (HUHESO Digital Blog 13:16 0 Ombwe la kutomtua ndoo kichwani mwanamke,imesababisha majonzi katika Kijiji cha Kipingu,Halmashauri ya Ludewa mkoani Njombe,kufuatia Mwanam... Read more »
AFISA TUME YA UCHAGUZI KENYA AKUTWA MSITUNI AKIWA AMEFARIKI (HUHESO Digital Blog 12:29 0 Mwili wa Ofisa wa Tume Huru ya uchaguzi na Mipaka ( IEBC ) ya Kenye,Daniel Musyoka (53), aliyepotea akiwa kituo cha kupigia kura na kuzua ... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 16 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:12 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumanne tarehe 16 Agosti 2022 Read more »
BREAKING NEWS : WILLIAM RUTO ASHINDA URAIS KENYA (HUHESO Digital Blog 18:40 0 Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC imemtangaza makamu wa rais William Ruto kuwa rais mteule, kufuatia uchaguzi uliokuwa na ushindani mkali, ... Read more »
MAAFISA WENYE VITAMBI JESHI LA UHAMIAJI KURUDISHWA VYUONI KUPATA MAFUNZO (HUHESO Digital Blog 16:55 0 Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza maofisa wa Jeshi la Uhamiaji waliopo kwenye vituo mbalimbali nchini, kurudi vyuoni kwa ajili ya kupatiwa k... Read more »