SABAYA ASHINDA AACHIWA HURU NA WENZAKE (HUHESO Digital Blog 14:28 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya ushahidi uliotol... Read more »
MAKONDA AMCHAPA ZA USO MAHAKAMANI MWANDISHI WA HABARI SAED KUBENEA (HUHESO Digital Blog 15:56 0 Mahakama ya Kinondoni imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea dhidi ya Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es sa... Read more »
BABA NA MTOTO WALIOWEKEANA DHAMANA WOTE WATOWEKA NA KIFUNGO CHA MIAKA 30 (HUHESO Digital Blog 12:49 0 Na Mwandishi Wetu, Iringa Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha mika 30 na fidia ya Tsh. Milioni 1 Mfanyabiashara Kaloli Mkus... Read more »
KESI YA SABAYA YAAHIRISHWA KISA NI MGONJWA SASA KWENDA KUTIBIWA (HUHESO Digital Blog 18:30 0 Mawakili wa upande wa utetezi kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne... Read more »
SABAYA AMKATAA MWENDESHA MASHTAKA, AMUOMBA RAIS SAMIA KUINGILIA KATI KESI YAKE (HUHESO Digital Blog 15:56 0 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, amemkataa Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Ru... Read more »
WANACHAMA 19 WA CHADEMA WAACHIWA HURU-MWANZA (HUHESO Digital Blog 14:15 0 Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada katika Kanis... Read more »
HUKUMU YA SABAYA YAPANGWA JUNI 10 (HUHESO Digital Blog 14:47 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeahirisha hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya... Read more »
BABA NA MTOTO WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KIFO-MARA (HUHESO Digital Blog 16:05 0 Mahakamani Kuu Kanda ya Musoma kupitia Mahakama ya Wilaya Tarime Mkoani Mara imewahukumu baba na mtoto wake wa Kijiji cha Genkuru kunyongwa ... Read more »
AHUKUMIWA MIAKA 30 KWA KUMBAKA MTOTO - IRINGA (HUHESO Digital Blog 22:32 0 Mahakama ya wilaya ya Iringa, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Jofrey Mtokama (21), mkazi wa Kijiji cha Igluba mkoani Iringa baada ya ku... Read more »
PANYA ROAD WALIOTIKISA DAR WAPANDISHWA KIZIMBANI (HUHESO Digital Blog 20:00 0 Watuhumiwa 25 wa matukio ya uvamizi na kujeruhi watu kwa silaha ikiwemo mapanga, yaliyotokea hivi karibuni jijini Dar es Salaam, wamepandish... Read more »
BREAKING NEWS: VIGOGO WATANO WA TMDA WAACHIWA HURU (HUHESO Digital Blog 16:31 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi ya Uhujumu Uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nch... Read more »
AHUKUMIWA MIAKA MITANO JELA KWA WIZI WA DEBE LA MAHARAGE-NJOMBE (HUHESO Digital Blog 13:35 0 Mahakama ya Mwanzo, Lugarawa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imemuhukumu Ombeni Ngwa'vi (25) kifungo cha miaka mitano jela... Read more »
MFANYABIASHARA WA MADINI KORTINI KWA MAUAJI ARUSHA. (HUHESO Digital Blog 13:04 0 Mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite jijini Arusha, Pendael Mollel (47) na wenzake wawili, jana Ijumaa Aprili 29, 2022, wamepandis... Read more »
ALIYEBAKA MTOTO WA MIAKA 8 AHUKUMIWA MIAKA 30 JELA (HUHESO Digital Blog 14:21 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe imemuhukumu Fadhili Ngoho (25) mkazi wa Ulembwe, Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe kwenda jela ... Read more »
MGANGA TIBA ASILI JELA MIAKA 30 KWA KUMBAKA BINTI MIAKA 12 KISHAPU (HUHESO Digital Blog 23:13 0 Mahakama ya Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Gangira Makila (37) ambaye ni mganga wa Kienyeji mkazi w... Read more »
KIFUNGO CHA MAISHA JELA KWA KULAWITI MTOTO WA MIAKA SABA KISHAPU (HUHESO Digital Blog 21:21 0 Mahakama ya wilaya Kishapu Mkoani Shinyanga imemhukumu kifungo cha maisha Jela Tine Christopher Mbembele (51) kwa kosa la kumlawiti mtoto mw... Read more »
MWALIMU WA TUITION AFUNGWA MAISHA JELA KWA KULAWITI WATOTO KAHAMA (HUHESO Digital Blog 15:13 1 Na Taikile Turo Mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga imemuhukumu kifungo cha maisha jela Baraka Andrea (26) mwalimu wa Tuition ba... Read more »