MAKONDA AMCHAPA ZA USO MAHAKAMANI MWANDISHI WA HABARI SAED KUBENEA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 9 June 2022

MAKONDA AMCHAPA ZA USO MAHAKAMANI MWANDISHI WA HABARI SAED KUBENEA




Mahakama ya Kinondoni imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea dhidi ya Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ya matumizi mabaya ya madaraka baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha tuhuma zake.


Kesi dhidi ya Makonda ilifunguliwa na Saed Kubenea mwandishi wa habari mashuhuri na mbunge wa zamani wa Jimbo la Ubungo (chadema) mnamo mwezi Disemba  Mwaka 2021 katika mahakama ya kinondoni Jijini Dar es salaam.

chanzo:Darmpya




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso