WANACHAMA 19 WA CHADEMA WAACHIWA HURU-MWANZA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 1 June 2022

WANACHAMA 19 WA CHADEMA WAACHIWA HURU-MWANZA


Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo jijini Mwanza wameachiwa huru.


Wana Chadema hao wameachiwa huru leo Jumatano Juni Mosi, 2022 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza baada ya upande wa mashtaka kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo namba 77/2021.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso