KESI YA SABAYA YAAHIRISHWA KISA NI MGONJWA SASA KWENDA KUTIBIWA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 7 June 2022

KESI YA SABAYA YAAHIRISHWA KISA NI MGONJWA SASA KWENDA KUTIBIWA


Mawakili wa upande wa utetezi kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuahirisha kesi hiyo ili Sabaya apelekwe hospitali kutibiwa kutokana na uvimbe alionao kichwani.


Akitoa ombi hilo leo Jumanne Juni 7, 2022 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha, Wakili Hellen Mahuna amesema mshitakiwa namba moja ambaye ni Sabaya ni mgonjwa hivyo anapaswa kwenda kufanyiwa upasuaji.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso