SERIKALI KUANZA KULIPA DENI LA TAIFA YALIOMBA BUNGE KUIDHINISHA TRILIONI 9.09 - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 7 June 2022

SERIKALI KUANZA KULIPA DENI LA TAIFA YALIOMBA BUNGE KUIDHINISHA TRILIONI 9.09




Wizara ya Fedha na Mipango imeliomba Bunge kuidhinisha Sh14.94 trilioni bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 huku Sh9.09 trilioni zikienda katika kulipa deni la Serikali.


Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo Jumanne Juni 7, 2022 wakati akiwasilisha mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2022/2023.


Dk Mwigulu amesema kati ya kiasi hicho, Sh13.62 trilioni ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na Sh1.32 trilioni ni kwa ajili ya matumizi ya maendeleo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso