SABAYA AMKATAA MWENDESHA MASHTAKA, AMUOMBA RAIS SAMIA KUINGILIA KATI KESI YAKE - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 1 June 2022

SABAYA AMKATAA MWENDESHA MASHTAKA, AMUOMBA RAIS SAMIA KUINGILIA KATI KESI YAKE




Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, amemkataa Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Tumaniel Kweka kwa kuwa anatokea wilaya ya Hai.


Amewasilisha hoja hiyo leo Jumatano June Mosi, 2022 mbele ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha, Sabaya amesema hana imani na mwendesha mashitaka huyo kwa kuwa anatokea katika wilaya hiyo na kwamba ni mtu aliyedai ni wa visasi na anatumika kisiasa.


Sabaya na washtakiwa wenzake wanne wanaokabiliwa na mashitaka saba.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso