Post Top Ad
Tuesday 24 January 2023
KONGAMANO LA BIASHARA KULETA KAMPUNI 400 TANZANIA
(HUHESO Digital Blog
16:04
0
KAMPUNI 400 kutoka Umoja wa Ulaya (EU) zinatarajia kuja nchini mwezi ujao kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji na biashara kupitia kong...
AL HILAL KUTUA NCHINI KUKIPIGA NA AZAM, NAMUNGO NA SIMBA
(HUHESO Digital Blog
14:37
0
Klabu ya Al Hilal ya nchni Sudan itaweka kambi Tanzania kujiandaa na mchezo wao wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika ...
Monday 23 January 2023
JELA NA KULIPA FIDIA YA LAKI TANO KWA KUMBAKA DADA YAKE WA TUMBO MOJA
(HUHESO Digital Blog
16:40
0
FRANK Kigomba (31) mkazi wa Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya Sh 500,000 kwa kosa la ...
WAWILI WAUAWA KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI WAKUTWA NA MABOMU YA KURUSHA KWA MKONO
(HUHESO Digital Blog
15:40
0
Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 wameuawa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera na kisha kukutwa na...
𝖩𝖤𝖲𝖧𝖨 𝖫𝖠 𝖯𝖮𝖫𝖨𝖲𝖨 𝖬𝖪𝖮𝖠 𝖶𝖠 𝖲𝖧𝖨𝖭𝖸𝖠𝖭𝖦𝖠 𝖫𝖨𝖬𝖤𝖪𝖠𝖬𝖠𝖳𝖠 𝖬𝖠𝖣𝖠𝖶𝖠 𝖸𝖠 𝖪𝖴𝖫𝖤𝖵𝖸𝖠 𝖡𝖠𝖭𝖦𝖨 𝖪𝖨𝖫𝖮 10,𝖪𝖤𝖳𝖤 278,𝖶𝖠𝖭𝖠𝖭𝖢𝖧𝖨 𝖬𝖥𝖨𝖪𝖤 𝖪𝖨𝖳𝖴𝖮𝖭𝖨 𝖪𝖴𝖳𝖠𝖬𝖡𝖴𝖠 𝖬𝖠𝖫𝖨 𝖹𝖨𝖫𝖨𝖹𝖮 𝖮𝖪𝖮𝖳𝖶𝖠
(HUHESO Digital Blog
14:49
0
𝖪𝖺𝗆𝖺𝗇𝖽𝖺 𝗐𝖺 𝖩𝖾𝗌𝗁𝗂 𝗅𝖺𝖯𝗈𝗅𝗂𝗌𝗂 𝖬𝗄𝗈𝖺 𝗐𝖺 𝖲𝗁𝗂𝗇𝗒𝖺𝗇𝗀𝖺,𝖠𝖢𝖯,𝖩𝖺𝗇𝖾𝗍𝗁 𝖬𝖺𝗀𝗈𝗆𝗂 𝖺𝗄𝗂𝗓𝗎𝗇𝗀𝗎𝗆𝗓𝖺 𝗇...
Friday 20 January 2023
MWALIMU WA SHULE YA MSINGI AKUTWA AMEKUFA NDANI KWAKE DAR ES SALAAM
(HUHESO Digital Blog
13:33
0
MWALIMU Gephason Shita wa Shule ya Msingi Tuwapende Watoto, iliyopo Bunju B, Kata ya Mabwepande jijini Dar es Salaam, emekutwa amekufa chumb...
MAKAMU WA RAISI DKT.PHILIP MPANGO ATOA AGIZO WEZI WA MAJI WAKAMATWE,IKIWEZEKANA WAJENGE VISIMA VYAO,SHINYANGA.
(HUHESO Digital Blog
13:28
0
Makamu wa Raisi Dkt.Philip Mpango,Ametoa agizo kwa kamati ya ulinzi na usalama,Wizara na vyombo vya Dola kuwakamata wabadhilifu na wezi wa m...
Thursday 19 January 2023
KIJANA WA MIAKA 19 APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUMWINGILIA KINYUME NA MAUMBILE MTOTO WA MIAKA NANE
(HUHESO Digital Blog
16:41
0
Mkazi wa eneo la Ilkiding'a wilayani Arumeru Mkoa wa Arusha, Calvin Abraham (19) amepandishwa kizimbani akikabiliwa na makosa mawili ya ...
WASAMBAZAJI WA KEMIKALI WABAINIKA KUWAUZIA WASIOSAJILIWA WATOZWA FAINI YA MILIONI 61
(HUHESO Digital Blog
16:34
0
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewatoza faini ya Sh61milioni wasambazaji saba wa kemikali aina ya Cyanide kwa makosa ...
Tuesday 17 January 2023
TIMU YA KUCHUNGUZA TUHUMA ZA WANAFUNZI KUFUNDISHWA KULAWITIANA YATUMWA KILIMANJARO
(HUHESO Digital Blog
17:48
0
Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ula...
AHUKUMIWA KUNYONGWA KWA KUMUUA MKE WAKE
(HUHESO Digital Blog
17:40
0
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi kwa kosa la kumuua ...
WAZIRI BASHE AIFUNGA KAMPUNI YA CANDIA FRESH YA NJOMBE NA MMILIKI AKAMATWE KWA KUNUNUA PARACHICHI HAZIJAKOMAA NA KUZITUPA DAMPO
(HUHESO Digital Blog
17:30
0
WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa mmiliki wa Kampuni ya Candia Fresh pamoja na kuifunga kampuni hiyo, kwa kile alichoel...
MILIPUKO YA MABOMU NA RISASI YASIKIKA KAMBI YA JESHI
(HUHESO Digital Blog
14:30
0
Milio ya risasi na milipuko mikali imesikika Jumanne asubuhi katika kambi ya kijeshi katika ya mji wa Hawadley katika eneo la Shabelle ya ka...
MAKAMU WA RAIS PHILIP MPANGO KUFANYA ZIARA MKOANI SHINYANGA KUANZIA KESHO JUMATANO
(HUHESO Digital Blog
14:26
0
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yahaya Nawanda akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muun...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.