MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 04 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 01:20 0 Tafadahali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Alhamisi tarehe 04 Agosti 2022 Read more »
MAMA ALIYEKIMBIA WATOTO KISA MWANAUME AJISALIMISHA POLISI NA KUOMBA KURUDI KUWALEA WATOTO (HUHESO Digital Blog 23:09 0 MAMA wa watoto watatu wakike Mkazi wa kijiji cha Gombe tarafa ya Mwaya, wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro, Adelyda Nakashawa amejisalimisha... Read more »
JESHI LA MTU MMOJA LATIWA MBARONI DAR (HUHESO Digital Blog 22:34 0 JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limemtia mbaroni mtuhumiwa Gadi Daudi maarufu ‘Jeshi la Mtu mmoja’ (28) mkazi wa Ubungo Riversi... Read more »
MASELE ASHINDA KURA ZA MKUTANO MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA MJINI (HUHESO Digital Blog 21:27 0 Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Masele ameshinda kwa kura 69 kati ya kura 85 katika uchaguzi wa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya ya Shi... Read more »
WANAOSAIDIA OMBA OMBA JIJINI DAR ES SALAAM KUTIWA MBALONI (HUHESO Digital Blog 21:08 0 Jiji la Dar es Salaam limepiga marufuku watu kuwasaidia ombaomba waliokithiri katika maeneo mbalimbali jijini humo huku hatua kali zikitan... Read more »
FUNDI AJITIA KITANZI GESTI KWA KUKABILIWA NA MADENI. (HUHESO Digital Blog 21:02 0 Tukio la kusikitisha limetokea Kilwa kufuatia mzee wa miaka 59 kujinyonga hadi kufa katika nyumba ya kulala wageni, Jeshi la Polisi limethi... Read more »
MUME NA MKE WAKUTANA MSIBANI, MWANAUME AMUUA MKE WAKE-GEITA (HUHESO Digital Blog 16:01 0 Mariam Masanja 22, mkazi wa Kijiji cha Nyabugela, Kata ya Mganza wilayani Chato mkoani Geita, ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na... Read more »
WATANZANIA MSIWE NA WASI WASI HAKUNA MGONJWA WA HOMA YA NYANI NCHINI (HUHESO Digital Blog 15:17 0 Mganga Mkuu wa serikali Dr.Aifello Sichwale amewatoa hofu watanzania juu ya taarifa za uwepo wa ugonjwa wa homa ya nyani katika maeneo mbali... Read more »
MZEE WA MIAKA 59 AJIUA KWA KUJINYONGA KWA SHUKA GESTI (HUHESO Digital Blog 14:26 0 Mzee mwenye umri wa miaka 59, Msham Omary Mpulu mkazi wa Tandika Jijini Dar es salaam ambaye alikuwa fundi selemala amejinyonga hadi kufa ka... Read more »
RAIS MPYA WA UTPC KENNETH SIMBAYA AKABIDHIWA RASMI. (HUHESO Digital Blog 13:28 0 RAIS wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania Deogratius Nsokolo amemkabidhi rasmi ofisi Bw. Kenneth Simbaya ambaye ni Mkurugenz... Read more »
WATAKAOFANYA UKATILI WA KIJINSIA KUNYIMWA DHAMANA. (HUHESO Digital Blog 13:21 0 Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imejipanga kuweka mkakati kwa wale wote wanaofanya ukatili wa watoto na wa... Read more »
AMUUA MAMA YAKE MZAZI KWA KUMCHOMA KISU ZAIDI YA MARA 80 AFUNGWA JERA MAISHA (HUHESO Digital Blog 06:45 0 Aaron Matthew kijana mwenye umri wa miaka 19 aliyemuua Mama yake mzazi kwa kumchoma kisu zaidi ya mara 80 KIJANA mwenye umri wa miaka 19 A... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 03 AGOSTI 2022 (HUHESO Digital Blog 06:24 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo tarehe 03 Agosti 2022 Read more »
BEI MPYA ZA MAFUTA ZILIZOTANGAZWA NA EWURA (HUHESO Digital Blog 22:54 0 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanz... Read more »