BEI MPYA ZA MAFUTA ZILIZOTANGAZWA NA EWURA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday, 2 August 2022

BEI MPYA ZA MAFUTA ZILIZOTANGAZWA NA EWURA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 3 Agosti 2022. 


Bei za Mafuta katika soko la dunia zimeendelea kuongezeka na kusababisha bei za mafuta katika soko la ndani kuongezeka pia. Ili kupunguza madhara ya ongezeko hilo katika soko la ndani, Serikali imetoa ruzuku ya bilioni 100 kwa ajili ya bei za mafuta hapa nchini kwa Agosti 2022.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso