WANAOSAIDIA OMBA OMBA JIJINI DAR ES SALAAM KUTIWA MBALONI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 3 August 2022

WANAOSAIDIA OMBA OMBA JIJINI DAR ES SALAAM KUTIWA MBALONI

 



Jiji la Dar es Salaam limepiga marufuku watu kuwasaidia ombaomba waliokithiri katika maeneo mbalimbali jijini humo huku hatua kali zikitangazwa kuchukuliwa kwa wanaoendelea kuwasaidia.


Akizungumza na EATV Meya wa Jiji la Dar es Salaam Omary Kumbilamoto, ambaye amesema kwamba, wameamua kuchukua uamuzi huo katika hatua za kuendelea kulipendezesha jiji la Dar es Salaam, huku akiwataka watu kwenda kutoa misaada kwenye maeneo maalum yaliyotengwa kudhibiti pia biashara haramu ya watu wanaowatumia watoto kuomba hela.

CHANZO:EATVNEWS

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso