MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 08 FEBRUARI 2023 (HUHESO Digital Blog 10:20 0 Tafadhali pitia kurasa za magazeti ya leo Jumatano tarehe 8 Februari 2023 Read more »
WAZAZI NA WALEZI WASHAURIWA KUPUNGUZA 'MIJUBULO' NA 'KULA BATA',BADALA YAKE WAWEKEZE KUCHANGIA CHAKULA SHULENI (HUHESO Digital Blog 17:01 0 WAZAZI na walezi katika kata ya Bakoba,manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameshauriwa kupunguza kuhudhuria 'mijubulo'(kitchen party-... Read more »
MAMA AFARIKI KWA UMEME AKIMUOKOA MWANAE (HUHESO Digital Blog 14:03 0 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi Na Halima Khoya - Shinyanga Mwanamke aitwaye Leah Nchimika(23)Mkazi wa Maganzo Wilaya ... Read more »
WATUHUMIWA 9 WA UJAMBAZI WAKAMATWA SHINYANGA WAMO WEZI WA MAFUTA NA VIFAA VYA SGR (HUHESO Digital Blog 13:35 0 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi akionesha bunduki iliyotumika katika tukio la ujambazi kambi ya Wachina wanaojenga mra... Read more »
MWANAFUNZI DARASA LA AWALI APATA UFADHILI BAADA YA KUKATAA KWENDA SHULE KWA KUWA WAZAZI HAWATOI MCHANGO,MPANGO WA CHAKULA SHULENI (HUHESO Digital Blog 14:58 0 MWANAFUNZI wa darasa la awali (jina lake linahifadhiwa) anayeelezwa alikuwa mwanafunzi wa darasa la awali mwaka huu 2023,katika shule ya msi... Read more »
AFIKISHWA MAHAKAMANI AKIWA NA KOBE 998, MAGAMBA 10 YA KOBE, MKIA WA NYATI ADAI ANAENDA KUTIBU WATU UKIMWI AMEOTESHWA (HUHESO Digital Blog 07:03 0 Mkazi wa Kijiji cha Nyarukoru, mkoani Mara, Matimba Washa (28), ameshtakiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Butiama kwa makosa matatu likiwamo ... Read more »
AKAMATWA NA WANANCHI AKITOROSHA MTOTO WA BOSS WAKE STENDI YA NYEGEZI MWANZA (HUHESO Digital Blog 06:47 0 Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limeanza uchunguzi wa tukio la mtoto aliyetambuliwa kwa jina la Hamisa Mung'ong'o (10) anayedaiwa kuka... Read more »
HUJAMBO TANZANIA: VICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO FEBRUARI 02, 2023 (HUHESO Digital Blog 07:04 0 Read more »
SUMA JKT MKAMILISHE KWA MUJIBU WA MKATABA HAKUNA NYONGEZA YA MUDA (HUHESO Digital Blog 06:59 0 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk Selemani Jafo amempa wiki mbili mkandarasi wa kampuni ya Suma JKT pamoja ... Read more »
HUJAMBO TANZANIA: SOMA VICHWA VYA HABARI ZA MAGAZETI YA LEO FEBRUARI MOSI, 2023 (HUHESO Digital Blog 06:52 0 Read more »
WATU WANNE WATUPWA JELA MIAKA 120 KWA MAKOSA YA UBAKAJI, KAMANDA ARUSHA AELEZA (HUHESO Digital Blog 13:35 0 Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kukahakikisha linakomesha vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia na Watoto limeendelea kushiriki... Read more »
MWENYEKITI CHADEMA AHAMIA CCM MOROGORO (HUHESO Digital Blog 18:47 0 MWENYEKITI wa Jimbo la Mikumi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha M... Read more »
WATU NANE WAFARIKI KWA KUPIGWA RISASI KWENYE SHEREHE YA BIRTHDAYPART USIKU (HUHESO Digital Blog 13:21 0 Watu wenye silaha wamewauwa wageni wanane baada ya kulifyatulia risasi kikundi cha watu waliokuwa wakisherehekea siku ya kuzaliwa katika mji... Read more »
WATEULE WA RAIS WASHINDWA KURIPOTI MAENEO YAO YA KAZI, WAHOJIWA NA POLISI KWA DAKIKA 50 (HUHESO Digital Blog 13:00 0 Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japheth Maganga amesema kwa sasa hawezi kutoa sababu kwanini hajaripoti wilaya aliyopangiwa ... Read more »