MAGAZETI YA LEO JUMAPILI TAREHE 26 FEBRUALI 2023 (HUHESO Digital Blog 04:59 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumapili tarehe 26 Februali 2023 Read more »
MPORAJI WA MALI ZA ABILIA ADAIWA KUJINYONGA MAHABUSU (HUHESO Digital Blog 18:43 0 Mtuhumiwa mmoja kati ya 14 waliokamatwa wakihusishwa na uporaji mali za abiria waliofariki na kujeruhiwa katika ajali ya basi dogo aina ya C... Read more »
WANANDOA MBARONI TUHUMA ZA KUMUUA MAMA MZAZI USHIRIKINA GEITA (HUHESO Digital Blog 18:30 0 Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Geita kwa tuhuma ya kumuua kwa kumchinja Mwanamke Mmoja aliyetambulika kwa jina la But... Read more »
MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III - HALMASHAURI YA USHETU (HUHESO Digital Blog 18:06 0 Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Ushetu anatangaza nafasi 2 za kazi za Mtendaji wa Kijiji Daraja la III kama inavyoonyeshwa kwenye tangazo... Read more »
JOB OPPORTUNITY PROJECT ACCOUNTANT AND DRIVER - CEELS (HUHESO Digital Blog 17:32 0 CEELS is looking for a committed person to fulfil the above objective in a dynamic work setting in the capacity of ACHIEVE Project Accountan... Read more »
TAKUKURU YABAINI KASORO MIRADI 12 KATI YA 16 MKOANI NJOMBE (HUHESO Digital Blog 14:44 0 Jumla ya miradi 12 kati ya 16 ya ujenzi wa maendeleo katika mkoa wa Njombe imekutwa na kasoro mbalimbali katika utekelezaji wake baada ya t... Read more »
AUA MKE, MTOTO MCHANGA KWA KISU KISA WIVU WA MAPENZI- KILIMANJARO (HUHESO Digital Blog 14:39 0 Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkew... Read more »
MAHAKAMA YAMWACHIA HURU ALIEDAIWA KUMUUA JIRANI YAKE (HUHESO Digital Blog 14:32 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemwachia huru, dereva Boi Rajabu (65) aliyekuwa aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, baada ya upande ... Read more »
BARRICK BULYANHULU NA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG’HWALE WASAINI MKATABA NA MAFUNDI WATAKAOTEKELEZA MIRADI YA FEDHA ZA UWAJIBIKAJI KWA JAMII (HUHESO Digital Blog 14:33 0 Wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla hiyo Picha ya watendaji wa Serikali wilayani Nyang’hwale na Maofisa wa Barrick Bulyanhulu Nyang’... Read more »
ANAYETUHUMIWA KUUA MKE WA MWENYEKITI WA MTAA WA NATIONAL HOUSING,RWAMISHENYE-BUKOBA,TAYARI YUKO MIKONONI MWA POLISI (HUHESO Digital Blog 13:45 0 NA MUTAYOBA ARBOGAST-HUHESO DIGITAL-BUKOBA JESHI la polisi mkoani Kagera,linamshikilia Paschal Kaigwa Mariseli(21) kwa tuhuma ya mauaji ya H... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 11 FEBRUARI 2023 (HUHESO Digital Blog 06:16 0 Tafadhali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumamosi tarehe 11 Februari 2023 Read more »
BABU MBALONI TUHUMA ZA KUMBAKA MJUKUU WAKE WA MIAKA 8 (HUHESO Digital Blog 06:19 0 Mwanaume aitwaye Luhende Tugwa (80) Mkazi wa Kijiji cha Ihapa Kata ya Oldshinyanga Manispaa ya Shinyanga, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kw... Read more »
MAGAZETI YA LEO TAREHE 10 FEBRUARI 2023 (HUHESO Digital Blog 06:10 0 Pitia Kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Ijumaa tarehe 10 Februari 2023 Read more »
RAIS SAMIA ATEUA MTENDAJI MKUU AICC (HUHESO Digital Blog 15:24 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Ephraim Balozi Mafuru kuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa... Read more »
WATU 12 WAFARIKI, 50 WAJERUHIWA, AJALI BASI LA FRESTER LINALOFANYA SAFARI ZA BUKOBA KWENDA DAR. (HUHESO Digital Blog 15:15 0 Watu 12 wanadaiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Fre... Read more »