MWANAFUNZI AJINYONGA BAADA YA KUKAMATWA NA BARUA YA MAPENZI (HUHESO Digital Blog 15:13 0 Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Masaki mkoani Pwani aitwaye Lasmin Kondo, amefariki dunia kwa kujinyonga mwenyewe ... Read more »
CHAMA CHA WAANDISHI HABARI MKOA WA KAGERA,CHAPITISHA MABADILIKO YA KUKIFANYA KUWA BORA ZAIDI (HUHESO Digital Blog 11:48 0 MKUTANO Mkuu maalum wa Chama cha waandishi wa habari mkoani Kagera(KPC),ambao umefanyika hotel ya ELCT manispaa ya Bukoba tarehe 21 Desemba ... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMATANO TAREHE 21 DESEMBA 2022 (HUHESO Digital Blog 09:08 0 Pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumatano tarehe 21 Desemba 2022 Read more »
KLABU YA WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA YAENDESHA MKUTANO MKUU MAALUM (HUHESO Digital Blog 18:35 0 KLABU ya waandishi wa habari mkoani Shinyanga (SPC) imeendesha Mkutano Mkuu maalum wa kujadili maendeleo ya Klabu hiyo pamoja na kupitia maa... Read more »
MKUTANO MKUU KADEA WAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI, WAPONGEZA MAFANIKIO MAKUBWA YA SHULE YAO (HUHESO Digital Blog 18:13 0 MKUTANO Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Kata za Kanyigo na Kashenye (Kanyigo and Kashenye Development Association-KADEA), wilayani Missenyi,... Read more »
APIGWA RISASI NA WATU WANAOSADIKIWA KUWA MAJAMBAZI,SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 17:51 0 Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 32,Mkazi wa Butengwa Maanispaa na Mkoa Shinyanga,Richald Nzumbe,Amefariki dunia baada ya kuvamiwa na majambaz... Read more »
MTOTO APIGWA RADI AKICHUNGA MBUZI NJOMBE (HUHESO Digital Blog 10:54 0 Calista Haule (15) mkazi wa kijiji cha Lifua kata ya Luilo wilayani Ludewa mkoani Njombe amefariki baada ya kupigwa na radi wakati akiwafung... Read more »
NAPE AAHIDI WIZARA YAKE KUZUNGUMZA NA MAHAKAMA KUHUSU MAKOSA YA KIMTANDAO (HUHESO Digital Blog 18:48 0 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema mfumo wa uhakiki, utunzaji wa kumbumbuku za makosa ya mtandao ut... Read more »
BASI LA HAPPY NATION LATEKETEA KWA MOTO (HUHESO Digital Blog 18:11 0 Zaidi ya abiria 50 waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Happy Nation wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuteketea kwa moto mkoani Pw... Read more »
WAZIRI MAKAMBA AIGOMEA ETDCo KUSAINI MKATABA MPYA WA KUSAMBAZA UMEME KIGOMA NA GEITA (HUHESO Digital Blog 18:08 0 Waziri wa Nishati Januari Makamba amezuia Kampuni ya Usambazaji umeme ya ETDCo kusaini mkabata wa usambazaji umeme akitoa madai ya kuwepo kw... Read more »
LICHA YA KASHFA YA RUSHWA, CYRIL RAMAPHOSA ACHAGULIWA TENA KUIONGOZA ANC (HUHESO Digital Blog 16:34 0 Rais wa Afrika Kusini aliyekumbwa na kashfa Cyril Ramaphosa amechaguliwa tena kuwa kiongozi wa chama tawala cha African National Congress (A... Read more »
MAHAKAMA YAAGIZA MWILI WA STELLA UFUKULIWE NA KUFANYIWA UCHUNGUZI MAJIBU YAPELEKWE MAHAKAMANI (HUHESO Digital Blog 16:30 0 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni (Kinondoni) jijini Dar es Salaam imeamuru mwili wa mwanamke aliyefia mahabusu katika kituo cha Polisi Mbu... Read more »