WANAWAKE WAMWANGUKIA BITEKO LESENI ZA UCHIMBAJI MADINI (HUHESO Digital Blog 14:48 0 Na PAUL KAYANDA HUHESO BLOG ILI kufanya Uchimbaji wenye tija, kikundi cha Wanawake wa Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama Mkoani Sh... Read more »
WANAOJIFANYA MAWAKALA WA FREEMASON WAKATWA DAR, WAMO WAGANGA WA KIENYEJI (HUHESO Digital Blog 13:46 0 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu 23 kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya utapeli kwa njia ya mtandao. K... Read more »
RAIS DKT.HUSSEIN ALI MWINYI AMEWAAPISHA MAJAJI WA MAHKAMA KUU ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 13:29 0 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kulia)kuw... Read more »
WIZI SIO SULUHU YA UMASKINI, BADALA YAKE TUMIA MBINU HII (HUHESO Digital Blog 12:31 0 Kushika pesa ni jambo la mhimu lakini bila jihudi zozote itakuwa vigumu kuishi maisha ya kifahari kama vile marafiki wako. Wengi wanaoishi... Read more »
KATIBU MKUU MSAIDIZI WA WHO KUFANYA ZIARA YA SIKU NNE TANZANIA (HUHESO Digital Blog 12:23 0 Na.Catherine Sungura,WAF-Dodoma Katibu Mkuu Msaidizi na Mratibu Mkuu wa Kimataifa wa mapambano dhidi ya UVIKO-19 kutoka Shirika la Afya dun... Read more »
MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 28 JUNI 2022 (HUHESO Digital Blog 00:30 0 Tafadahali pitia kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo Jumanne Tarehe 28 Juni 2022 Read more »
WATU WATANO WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA NA KAZI NGUMU KWA MAUAJI YA MTU MWENYE UALBINO (HUHESO Digital Blog 19:10 0 Watu watano akiwemo kasisi wa kanisa la katoliki wamehukumiwa kifungo cha maisha jela na kazi ngumu kwa kumuua mwanamume mwenye ualbino nchi... Read more »
MAKAMU WA RAIS AHUTUBIA MKUTANO WA UN WA BAHARI (HUHESO Digital Blog 19:05 0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Umoja wa Mataifa ... Read more »
ZIARA YA THRDC KWA SHIRIKA LA JLT (HUHESO Digital Blog 14:47 0 NA MWANDISHI WETU Meneja Programu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Bw. Remmy Lema akiambatana na mratibu wa kand... Read more »
VIJANA WA TANZANIA NA UGANDA WAKUTANA MUTUKULA,KUZUNGUMZIA AMANI NA FURSA ZA NDOTO ZAO (HUHESO Digital Blog 14:27 0 VIJANA kutoka asasi mbalimbali za masuala ya vijana nchini Tanzania na Uganda,wamekutana mwishoni mwa wiki katika mji wa mpakani wa Mutukula... Read more »
HILI DUDE HATUJUI LITAIBUKA LINI NA KASI GANI-RAIS SAMIA (HUHESO Digital Blog 14:22 0 Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na kutikisika kwa taifa dhidi ya Janga la ugonjwa wa Uviko-19 nchi imepata ahueni... Read more »
WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA GARI-TABORA (HUHESO Digital Blog 13:40 0 Gari iliyoua watu sita Watu sita na wanne kati yao ni wa familia moja wamefariki dunia kwa ajali ya gari n... Read more »
MWALIMU AJIFUNGUA MAPACHA WANNE (HUHESO Digital Blog 13:37 0 Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kuanza mchakato wa kumhami... Read more »
BEI YA VING'AMUZI YASHUSHWA NA SERIKALI (HUHESO Digital Blog 13:25 0 Serikali imepunguza tozo ya ving’amuzi nchini kufikia Sh500 hadi Sh2000 kwa kadri ya matumizi ya mteja baada ya majadiliano na Kamati ya Bun... Read more »
KARIBU NDONDO CUP YA CLOUDS FM 2022 KAHAMA USAJILI WAFUNGULIWA RASMI- BINGWA KUVUNA MAMILIONI (HUHESO Digital Blog 10:46 0 NA PASCHAL MALULU-HUHESO BLOG Dirisha la usajili wa timu zitakazoshiriki mashindano ya Ndondo Cup ya Clouds FM 2022 limefunguliwa am... Read more »