WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA GARI-TABORA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 27 June 2022

WATU SITA WAFARIKI KWA AJALI YA GARI-TABORA



                                 Gari iliyoua watu sita


Watu sita na wanne kati yao ni wa familia moja wamefariki dunia kwa ajali ya gari ndogo katika eneo la Inala mkoani Tabora, wakati wakitokea Dar es Salaam kuelekea wilaya ya Urambo Tabora katika mazishi ya Mama mzazi wa mmoja wa marehemu hao.


Ajali hiyo imetokea Juni 25, 2022, majira ya jioni, ambapo kwa mujibu wa mashuhuda gari ndogo ilihama katika upande wake na kuingia kwenye uvungu wa lori lililokuwa likitokea Tabora kuelekea Singida.


Chanzo - EATV

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso