KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA. (HUHESO Digital Blog 15:50 0 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Agosti 2023 ameongoza Kikao Maalum... Read more »
CHAWA WA MAMA MARUFUKU WANASAKA MADARAKA TU-CCM (HUHESO Digital Blog 08:52 0 Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepiga marufuku kundi la ‘chama wa mama’ kikieleza dhamira yao ni kusaka madaraka tu. Katibu wa CCM Wilaya ya Il... Read more »
KADI YA CCM YA KIELECTRONIC KUTUMIKA KAMA ATM, BIMA YA AFYA NA NSSF (HUHESO Digital Blog 12:51 0 Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa Haji Gavi amesema kadi za uanachama za chama hicho zitaweza kutumika kwa huduma nyingine ikiwamo kufany... Read more »
MWENYEKITI CHADEMA AHAMIA CCM MOROGORO (HUHESO Digital Blog 18:47 0 MWENYEKITI wa Jimbo la Mikumi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Bakari Hasani amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha M... Read more »
DED ALALAMIKIWA KUKAA MBALI NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) (HUHESO Digital Blog 16:25 0 Na Mwandishi Wetu, Iringa MKURUGENZI wa halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Bashir Muhoja amekalia kuti kavu baada ya Halmashauri Kuu ya Chama ... Read more »
KWANINI MBOWE HAYUPO AIRPORT? - LISSU AHOJI (HUHESO Digital Blog 16:20 0 Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara) Tundu Lissu ametua nchini, akitokea Ubelgiji alikokimbilia baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwak... Read more »
MKUU WA MKOA SHINYANGA SOPHIA MJEMA ATEULIWA KUWA KATIBU MWENEZI WA CCM. (HUHESO Digital Blog 18:23 0 Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi " CCM" Taifa, imefanya mabadiriko madogo ya Wajumbe wa Sekretarieti, huku Sophia Edward M... Read more »
MOTO UMEWASHWA HATUNA PRESHA VYAMA VYA SIASA VISEME UKWELI KWA WATU SIO KUVAA MIWANI YA MBAO (HUHESO Digital Blog 13:22 0 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Mhe. Mabala Kashindye Mlolwa akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jumamosi Januari 7,2023 katika ofisi... Read more »
MIKUTANO YA HADHARA SASA YARUHUSIWA RAIS SAMIA AVITAKA VYAMA VYA SIASA KUHESHIMU SHERIA ZA NCHI (HUHESO Digital Blog 16:08 0 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameruhusu mikutano ya hadhara iiliyokuwa ikililiwa kwa muda mrefu na vyama vya upinzani kutaka ruhusiw... Read more »
NAZIR KARAMAGI ASHINDA UENYEKITI WA CCM MKOA WA KAGERA (HUHESO Digital Blog 14:23 0 Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Vijijini mwaka 2005 hadi 2010 Nazir Karamagi, ametangazwa kuwa mshindi katika nafasi ya... Read more »
RUSHWA YASABABISHA UCHAGUZI NDANI YA CCM KUFUTWA (HUHESO Digital Blog 18:03 0 Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili za r... Read more »
WAGOMBEA UWENYEKITI CCM MKOA WA SHINYANGA WAWEKWA HADHARANI (HUHESO Digital Blog 16:23 0 Na Mwandishi Wetu , SHINYANGA KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga Donald Magesa, ametaja majina ya wagombea wa nafasi ya M... Read more »
RASMI: JAMES MBATIA BYE BYE NCCR-MAGEUZI (HUHESO Digital Blog 14:00 0 Ikiwa imepita miezi mitano tangu kuibuka kwa mvutano wa makada ndani ya Chama cha NCCR Mageuzi, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini i... Read more »
MGEJA AGOMEA MATOKEO,BAADA YA NGELELA KUTANGAZWA MSHINDI TENA UCHAGUZI WA MARUDIO NAFASI YA UENYEKITI CCM WILAYA YA SHINYANGA VIJIJINI (HUHESO Digital Blog 13:42 0 CHAMA cha Mapinduzi CCM wilaya ya Shinyanga Vijijini kimefanya uchaguzi wa marudio kwa nafasi ya Uenyekiti, pamoja Katibu wa Itikadi na Uene... Read more »
THOMAS ASHINDA TENA UENYEKITI CCM KAHAMA MJINI (HUHESO Digital Blog 15:45 0 Mshindi wa kiti cha uenyekiti wilaya ya Kahama kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Thomas Muyonga akiwashukuru wajumbe baada ya kumchagua kwa ... Read more »
WAGOMBEA WAWILI SHINYANGA VIJIJINI WAJIONDOA UCHAGUZI CCM (HUHESO Digital Blog 22:56 0 Wagombea nafasi ya Mwenyekiti CCM wilaya ya Shinyanga vijijini, (wakwanza kushoto) ni Edward Ngelela, na (wapili kutoka kulia) ni Mwenzetu... Read more »
HAYA HAPA MAJINA YA WALIOTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA UENYEKITI WA CCM WILAYA NCHI NZIMA (HUHESO Digital Blog 10:47 0 Orodha ya majina ya walioteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CCM wilaya kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya m... Read more »