KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA. - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Thursday 17 August 2023

KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM YA TAIFA.Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Agosti 2023 ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.(Picha na CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso