MAFURIKO YAUWA 19 INDONESIA (HUHESO Digital Blog 16:26 0 MVUA kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi katika Kisiwa cha Sumatra nchini Indonesia, imeuwa takribani watu 19 na wengine sa... Read more »
TIKTOK YAPIGWA MARUFUKU MAREKANI (HUHESO Digital Blog 18:09 0 Rais wa Marekani, Joe Biden amesema atasaini mswada ambao utaifungia na kuiondoa kampuni ya mtandao wa TikTok sambamba na kupigwa marufuku n... Read more »
UCHAGUZI WA RAIS KUFANYIKA MWEZI HUU (HUHESO Digital Blog 18:53 0 WAPIGA kura nchini Senegal wataamua hatma ya rais wao ajaye mnamo Machi 24, Rais Macky Sall ametangaza leo. Baraza la Katiba lilitoa uamuzi ... Read more »
ICC YATOA HATI KUKAMATWA MAKAMANDA WAKUU WA RUSSIA (HUHESO Digital Blog 16:37 0 Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati ya kukamatwa kwa makamanda wakuu wa Russia, kwa tuhuma za uhalifu wa kivita nchini Ukrain... Read more »
NDEGE ZAGONGANA ANGANI WAWILI WAFARIKI (HUHESO Digital Blog 15:34 0 Watu wawili wamekufa kufuatia ajali ya ndege mbili zilizogongana angani na kuangukia katika mbuga ya kitaifa Nairobi, Kenya. Waliofariki wan... Read more »
Waziri Mkuu DR Congo Sama Lukonde Ajiuzulu (HUHESO Digital Blog 13:34 0 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jean-Michel Sama Lukonde amejiuzulu, ametangaza hatua hiyo katika video iliyosambazwa kwen... Read more »
SILAHA MPYA YA ANGA YA NYUKILIA TOKA URUSI INATIA WASIWASI DUNIA. (HUHESO Digital Blog 12:49 0 Marekani imesema ina wasiwasi kuwa Urusi imetengeneza silaha mpya inayoweza kushambulia satelaiti. Lakini Urusi imekanusha madai hayo ya Mar... Read more »
RAIS RUTO WA KENYA NA TUNUBU WA NIGERIA WAKOSOLEWA KUSAFIRI SANA NJE YA NCHI (HUHESO Digital Blog 11:53 0 Rais William Ruto wa Kenya na Rais Bola Tinubu wa Nigeria, wanakabiliwa na ukosoaji kwa safari zao za mara kwa mara nje ya nchi. Wawili hao ... Read more »
RAIS SAMIA AKUTANA NA PAPA FRANCISKO VATICAN. (HUHESO Digital Blog 16:27 0 Katika mazungumzo yao ya faragha yaliyodumu kwa takribani dakika ishirini na tano, wameridhika na uhusiano wa kidiplomasia kati ya Vatican n... Read more »
MLIPUKO WA GESI UMETOKEA MJI MKUU WA KENYA NAIROBI NA KUUA WATU WATATU NA WENGINE 300 KUJERUHIWA (HUHESO Digital Blog 00:37 0 Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lililipuka katika wilaya ya Embakasi mwendo wa 23:30 (20:30 GMT), "na kuwasha moto mkubwa... Read more »
RAIS WA ZAMANI JELA MIAKA MITANO (HUHESO Digital Blog 10:42 0 RAIS wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la utakatishaji fedha kipindi cha u... Read more »
WACHIMBAJI MGODINI HAWAJAONEKANA (HUHESO Digital Blog 12:46 0 MAOFISA nchini Zambia wameshindwa kupata makumi ya wachimbaji haramu wanaoaminika kunaswa baada ya maporomoko ya udongo kwenye mgodi wa shab... Read more »
BREAKING; WAZIRI MKUU MSTAAFU AFARIKI (HUHESO Digital Blog 12:20 0 WAZIRI Mkuu wa zamani wa Rwanda na mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Paul Kagame amefariki akiwa uhamishoni nchini Ubelgiji. Ndugu walithi... Read more »
JK ATETA NA KAMATI YA UTATU YA SIASA,ULINZI NA USALAMA (SADC_TROIKA) MJINI LUANDA_ANGOLA (HUHESO Digital Blog 10:53 0 Na Mwandishi Wetu, Angola Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa ... Read more »
SERIKALI YA KIJESHI NIGER KUMSHTAKI RAIS ALIYEONDOLEWA MADARAKANI KWA 'UHAINI. (HUHESO Digital Blog 10:39 0 Jeshi la Niger linasema litamfungulia mashitaka Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum kwa uhaini, saa chache baada ya kundi la wanazu... Read more »
WATEKAJI WALIOMTEKA MTANZANIA WAOMBA DOLA ELFU 70 KUMUACHIA-NIGERIA (HUHESO Digital Blog 19:13 0 Balozi wa Tanzania Nigeria: Tunafanya jitihada za kumuokoa mtanzania aliyetekwa nyara Nigeria Mtanzania Melkiori Dominick Mahinini, mwanafun... Read more »
JUNE 20 KILA MWAKA SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI (HUHESO Digital Blog 15:53 0 Kila mwaka ifikapo Juni 20, dunia huadhimisha Siku ya Wakimbizi Duniani, siku ya kimataifa ya kuwaenzi watu ambao wamelazimika kukimbia. Kwa... Read more »
NIMEDHAMIRIA KUMSAIDIA RAIS GEORGE WEAH KATIKA UONGOZI WAKE WA AWAMU YA PILI (HUHESO Digital Blog 13:56 0 Jewel H oward Taylor Utangulizi:Mh. Dk Jewel Howard Taylor, Makamu wa Rais, Jamhuri ya Liberia ni kito adimu(rare gem), ambaye nguvu zak... Read more »