MARUBANI WALIOLALA WAKIWA ANGANI KWA DAKIKA 28 WACHUNGUZWA (HUHESO Digital Blog 13:09 0 Indonesia inaichunguza kisa cha marubani wawili kupatikana wakiwa wamelala kwa dakika 28 katikati ya safari ya ndege ya Batik Air iliyokuwa ... Read more »
CHANZO AJALI YA BAGAMOYO ILIYOUA WATU 9, DEREVA WA LORI KU-'OVERTAKE' (HUHESO Digital Blog 10:57 0 Watu tisa wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Kiromo Jana usiku, March 10, 2024 Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya Coast... Read more »
SIWEZI KUJIUNGA CCM (HUHESO Digital Blog 10:41 0 Mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji amesema hawezi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. Akizungumza Machi 10, 2024 vis... Read more »
MAFURIKO YAUWA 19 INDONESIA (HUHESO Digital Blog 16:26 0 MVUA kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi katika Kisiwa cha Sumatra nchini Indonesia, imeuwa takribani watu 19 na wengine sa... Read more »
ACHANI URASIMU NI AIBU KWA USTAWI WA NCHI (HUHESO Digital Blog 16:10 0 NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewaagiza watendaji wa serikali kuhakikisha wanailea sekta binafsi kwa kila mmoja ku... Read more »
VITUO VYA KISASA UKAGUZI WA MAGARI KUJENGWA MIPAKANI (HUHESO Digital Blog 18:42 0 Katika kuhakikisha ajali za Barabarani zinapungua kama sio kuisha kabisa, jeshi la polisi kwa kushirikiana na Shirika la Viwango Nchini (TBS... Read more »
TIKTOK YAPIGWA MARUFUKU MAREKANI (HUHESO Digital Blog 18:09 0 Rais wa Marekani, Joe Biden amesema atasaini mswada ambao utaifungia na kuiondoa kampuni ya mtandao wa TikTok sambamba na kupigwa marufuku n... Read more »
MWANA FA AWAKILISHA UZINDUZI ALL AFRICAN GAMES (HUHESO Digital Blog 17:39 0 ACCRA, Ghana: Mashindano ya Afrika (All African Games 2023) yamezinduliwa rasmi Machi 8, 2024 jijini Accra, Ghana. Rais wa Ghana, Nana Akufo... Read more »
ACT YASAKA UFALME AFRIKA (HUHESO Digital Blog 13:51 0 CHAMA cha ACT Wazalendo kinatazamia ndani ya miaka mitano ijayo kuwa taasisi imara zaidi inayojiendesha kwa misingi ya kitaasisi kuliko vyam... Read more »
RAIS AMTEUA CHONGOLO KUWA MKUU WA MKOA (HUHESO Digital Blog 13:27 0 RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe. Taarifa hiyo imetolewa leo Machi 9, 2024 na Ofisi ya Rais Iku... Read more »
RC MNDEME AONGOZA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI SHINYANGA, ATAJA VIPAUMBELE (HUHESO Digital Blog 17:29 0 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewaongoza wanawake katika Maadhimisho ya Siku Ya Wanawake Duniani Mkoa wa Shinyanga ambapo... Read more »
ARTETA KOCHA BORA FEBRUARI (HUHESO Digital Blog 16:46 0 Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amechaguliwa kuwa meneja bora wa Mwezi Februari 2024 wa Ligi Kuu nchini England akishinda kwa mara ya saba. A... Read more »
BASHUNGWA AWAPA TANO WATAALAMU TANROADS (HUHESO Digital Blog 16:37 0 Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameipongeza timu ya wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), kwa kufan... Read more »
DR CHRISTINA MZAVA AWATAKA WALIMU KUWA NA MALEZI BORA KWA WANAFUNZI (HUHESO Digital Blog 16:20 0 Walimu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwalea wanafunzi katika mienendo mizuri ili kupambana na mmomonyoko wa maadili unaoendel... Read more »
AJIFUNGUA MAPACHA WATATU AOMBA MSAADA-GEITA (HUHESO Digital Blog 14:55 0 Rebeka John (27), mkazi wa Ikurwa Wilaya ya Geita amejifungua watoto watatu njiti Machi 04, 2024 katika Kituo cha Afya Nyankumbu kilichopo M... Read more »
SERIKALI KUWAVALIA NJUGA WANACHAFUA TASINIA YA UKANDARASI (HUHESO Digital Blog 14:25 0 Dar es Salaam. Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi Tanzania (CRB), Mhandisi Rhoben Nkori amewakemea baadhi ya Makandarasi wanaofanya k... Read more »
WANAWAKE WENYE ULEMALU WALIA NA CHANGAMOTO YA MASOKO YA BIDHAA ZAO, WAIANGUKIA UWT (HUHESO Digital Blog 14:06 0 Wanawake wenye ulemavu wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya masoko ya bidhaa zao ili kuweza kujikwamua kiuchumi kutokana na k... Read more »
WATOTO 8 WAMEFARIKI NA WATU WENGINE ZAIDI YA 70 WAMELAZWA WAKIDHANIWA KULA SAMAKI ZANZIBAR (HUHESO Digital Blog 09:59 0 Watoto wanane wamefariki dunia na watu wengine 78 wamelazwa hospitali kwa madai ya kula samaki aina ya kasa kisiwani Panza, Wilaya ya Mkoani... Read more »
SERIKARI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WANAWAKE KUPATA NISHATI SAFI (HUHESO Digital Blog 20:10 0 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa safari ya matumizi ya nishati safi ya kupikia imeanza rasmi nchin... Read more »
RC MNDEME AAGIZA KILA ENEO LENYE MKUSANYIKO WA WATU KUWEKWA MAJI TIRIRIKA (HUHESO Digital Blog 19:19 0 Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza wakati akifungua kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Shinyanga (RCC) leo Alhamis... Read more »