ACHANI URASIMU NI AIBU KWA USTAWI WA NCHI - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday 10 March 2024

ACHANI URASIMU NI AIBU KWA USTAWI WA NCHI


NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewaagiza watendaji wa serikali kuhakikisha wanailea sekta binafsi kwa kila mmoja kutimiza wajibu wake kwenye eneo lake ili kuhakikisha azma ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwa mlezi na kutotaka kuona wafanyabiashara wanapata misukosuko wakati wa utekelezaji wa majukumu yao inafikiwa.



Biteko amesema hayo jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa Rafiki Hoteli ambao ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda.



“kama wewe ni Afisa wa TANESCO uliye na wajibu wa kumuunganishia mfanyabiashara umeme ambao mwisho wa siku ataulipia kwa ajili ya mapato yako, huna sababu ya kumwambia njoo kesho wakati kazi hiyo ungeifanya leo.” Amesema.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso