WAHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA KWA KUIBA MAFUTA YA UJENZI WA SGR (HUHESO Digital Blog 13:36 0 Mahakama ya wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza imewahukumu kwenda jela miaka miwili au kulipa faini washtakiwa watatu kati ya sita waliohusika n... Read more »
WALIMU WALIOCHEKA WAKATI MWALIMU MKUU AKIKANYAGA MIGUU YA WANAFUNZI WASIMAMISHWA (HUHESO Digital Blog 13:28 0 KATIBU Tawala Mkoa wa Kagera, Toba Nguvila amewasimamisha kazi watumishi watano akiwamo Mratibu Elimu Kata ya Kakanja na walimu wanne waliok... Read more »
JELA MIAKA MINNE KWA KUKATA KIGANJA CHA BOSS WAKATI AKIDAI ELFU 65 (HUHESO Digital Blog 13:23 0 MKAZI wa Ludewa mkoani Njombe, Baraka Luoga (20) amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la kumjeruhi kwa kumkata kiganja cha mkon... Read more »
MIGODI YA BARRICK YAPATA THAMANI YA MUDA MREFU KATIKA UZALISHAJI HUKU IKICHANGIA BILIONI 2.4 PATO LA TAIFA (HUHESO Digital Blog 14:00 0 Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza na Waandishi wa habari katika Mgodi wa Bulyanhulu. Kushoto ni Meneja wa Bar... Read more »
WATOTO 18 WADAIWA KULAWITIWA KWA KUPEWA PIPI NA FEDHA-KILIMANJARO (HUHESO Digital Blog 13:50 0 Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mkazi wa kijiji cha Komela, wilayani Moshi mkoani hapa, Shukuru Nguma kwa tuhuma za kuwalaw... Read more »
DED ALALAMIKIWA KUKAA MBALI NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) (HUHESO Digital Blog 16:25 0 Na Mwandishi Wetu, Iringa MKURUGENZI wa halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Bashir Muhoja amekalia kuti kavu baada ya Halmashauri Kuu ya Chama ... Read more »
KWANINI MBOWE HAYUPO AIRPORT? - LISSU AHOJI (HUHESO Digital Blog 16:20 0 Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara) Tundu Lissu ametua nchini, akitokea Ubelgiji alikokimbilia baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwak... Read more »
JELA NA KULIPA FIDIA YA LAKI TANO KWA KUMBAKA DADA YAKE WA TUMBO MOJA (HUHESO Digital Blog 16:40 0 FRANK Kigomba (31) mkazi wa Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya Sh 500,000 kwa kosa la ... Read more »
WAWILI WAUAWA KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI WAKUTWA NA MABOMU YA KURUSHA KWA MKONO (HUHESO Digital Blog 15:40 0 Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 wameuawa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera na kisha kukutwa na... Read more »
𝖩𝖤𝖲𝖧𝖨 𝖫𝖠 𝖯𝖮𝖫𝖨𝖲𝖨 𝖬𝖪𝖮𝖠 𝖶𝖠 𝖲𝖧𝖨𝖭𝖸𝖠𝖭𝖦𝖠 𝖫𝖨𝖬𝖤𝖪𝖠𝖬𝖠𝖳𝖠 𝖬𝖠𝖣𝖠𝖶𝖠 𝖸𝖠 𝖪𝖴𝖫𝖤𝖵𝖸𝖠 𝖡𝖠𝖭𝖦𝖨 𝖪𝖨𝖫𝖮 10,𝖪𝖤𝖳𝖤 278,𝖶𝖠𝖭𝖠𝖭𝖢𝖧𝖨 𝖬𝖥𝖨𝖪𝖤 𝖪𝖨𝖳𝖴𝖮𝖭𝖨 𝖪𝖴𝖳𝖠𝖬𝖡𝖴𝖠 𝖬𝖠𝖫𝖨 𝖹𝖨𝖫𝖨𝖹𝖮 𝖮𝖪𝖮𝖳𝖶𝖠 (HUHESO Digital Blog 14:49 0 𝖪𝖺𝗆𝖺𝗇𝖽𝖺 𝗐𝖺 𝖩𝖾𝗌𝗁𝗂 𝗅𝖺𝖯𝗈𝗅𝗂𝗌𝗂 𝖬𝗄𝗈𝖺 𝗐𝖺 𝖲𝗁𝗂𝗇𝗒𝖺𝗇𝗀𝖺,𝖠𝖢𝖯,𝖩𝖺𝗇𝖾𝗍𝗁 𝖬𝖺𝗀𝗈𝗆𝗂 𝖺𝗄𝗂𝗓𝗎𝗇𝗀𝗎𝗆𝗓𝖺 𝗇... Read more »
MWALIMU WA SHULE YA MSINGI AKUTWA AMEKUFA NDANI KWAKE DAR ES SALAAM (HUHESO Digital Blog 13:33 0 MWALIMU Gephason Shita wa Shule ya Msingi Tuwapende Watoto, iliyopo Bunju B, Kata ya Mabwepande jijini Dar es Salaam, emekutwa amekufa chumb... Read more »
MAKAMU WA RAISI DKT.PHILIP MPANGO ATOA AGIZO WEZI WA MAJI WAKAMATWE,IKIWEZEKANA WAJENGE VISIMA VYAO,SHINYANGA. (HUHESO Digital Blog 13:28 0 Makamu wa Raisi Dkt.Philip Mpango,Ametoa agizo kwa kamati ya ulinzi na usalama,Wizara na vyombo vya Dola kuwakamata wabadhilifu na wezi wa m... Read more »
WASAMBAZAJI WA KEMIKALI WABAINIKA KUWAUZIA WASIOSAJILIWA WATOZWA FAINI YA MILIONI 61 (HUHESO Digital Blog 16:34 0 Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewatoza faini ya Sh61milioni wasambazaji saba wa kemikali aina ya Cyanide kwa makosa ... Read more »
TIMU YA KUCHUNGUZA TUHUMA ZA WANAFUNZI KUFUNDISHWA KULAWITIANA YATUMWA KILIMANJARO (HUHESO Digital Blog 17:48 0 Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ula... Read more »
AHUKUMIWA KUNYONGWA KWA KUMUUA MKE WAKE (HUHESO Digital Blog 17:40 0 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi kwa kosa la kumuua ... Read more »