BAJETI KUU YA SERIKALI KWA MWAKA 2022/23 YAWASILISHWA BUNGENI (HUHESO Digital Blog 19:52 0 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akionesha Mkoba wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/23 alipowasili k... Read more »
KIDATO CHA TANO NA SITA BURE SERIKALI YATANGAZA. (HUHESO Digital Blog 19:36 0 Waziri wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amependekeza kufutwa ada ya kidato cha tano na cha sita hatua ambayo inalenga kuwapunguzia g... Read more »
BAJETI YA SERIKALI KUBEBA MATUMAINI YA WATANZANIA-DKT NCHEMBA (HUHESO Digital Blog 16:49 0 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kwamba hotuba ya bajeti kuu ya serikali atakayoisoma hii leo itakuwa imebeba matuma... Read more »
DENI LA TAIFA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 14.4 (HUHESO Digital Blog 12:50 0 Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2022, deni la Serikali lilikuwa Sh69.44 trilioni ikilinganishwa n... Read more »
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATOA KAULI BUNGENI JITIHADA YA SERIKALI KUKABILIANA NA WANYAMA KWA WANANCHI (HUHESO Digital Blog 14:51 0 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali kwa sasa inaimarisha mifumo itakayozuia wanyamapori wakiwemo tembo kuingia katika makazi ya wa... Read more »
SERIKALI KUANZA KULIPA DENI LA TAIFA YALIOMBA BUNGE KUIDHINISHA TRILIONI 9.09 (HUHESO Digital Blog 18:36 0 Wizara ya Fedha na Mipango imeliomba Bunge kuidhinisha Sh14.94 trilioni bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 huku Sh9.09 trilioni zikienda kat... Read more »
MKATABA WA SONGAS KUPITIWA UPYA (HUHESO Digital Blog 14:12 0 Serikali imesema itapitia upya mkataba wa mkataba wa kampuni ya kuzalisha umeme ya Songas ili kuhakikisha kuwa haitakuwa na mkataba wenye do... Read more »
WAKURUGENZI WATANO WAONDOLEWA MSD (HUHESO Digital Blog 15:23 0 Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Wizara hiyo imewaondoa kwenye nafasi zao wakurugenzi watano wa Bohari ya Dawa Tanzania (MSD) kutokana n... Read more »
SPIKA TULIA ACKSON: ZIMENI MAGARI YENU MNAPOSHUKA (HUHESO Digital Blog 12:38 0 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amewataka Viongozi mbalimbali wa Tanzania wakiwemo Mawaziri, Manaibu Mawa... Read more »
MBUNGE ATAKA BOHARI YA DAWA (MSD) IFUMULIWE (HUHESO Digital Blog 12:22 0 MBUNGE wa Jimbo la Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota ametaka Bohari ya Dawa(MSD) ifumuliwe ipasavyo na isitazamwe menejimenti peke yake. Kaul... Read more »
MAHAKAMA KUAMUA HATMA YA WABUNGE 19 WA CHADEMA AKINA MDEE NA WENZAKE KUBAKI BUNGENI (HUHESO Digital Blog 12:31 0 SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amewakingia kifua wabunge 19 wa kuteuliwa kutoka Chama Cha Demokrasia na Maen... Read more »
WABUNGE 19 WA VITI MAALUM CHADEMA HAWAPO BUNGENI LEO (HUHESO Digital Blog 11:58 0 Wabunge 19 wa Viti Maalumu wa Chedema leo hawajaonekana bungeni katika upande wanapokaa huku viti vyao vikwa wazi. Kundi hilo maarufu Halima... Read more »
MBUNGE WA CCM AITAKA SERIKALI KUHALALISHA GONGO (HUHESO Digital Blog 14:08 0 Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe ameitaka Serikali kuzipima na kuzirasimisha pombe za kienyeji ikiwamo gongo ili kuwasaidia kiuchum... Read more »
SPIKA AIGIZA SERIKALI KUPELEKA MPANGO WA DHARURA KUKABILIANA NA BEI YA MAFUTA NCHINI (HUHESO Digital Blog 16:26 0 Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameiagiza Serikali kupeleka bungeni hatua za muda mfupi itakazochukua kukabiliana na changamoto ya kupanda ... Read more »
BUNGE LAAHIRISHWA KUTOKANA NA MSIBA WA MBUNGE WA RUKWA VITI MAALUM. (HUHESO Digital Blog 11:48 0 Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson amelazimika kuahirisha shughuli za bunge hadi Jumatano ya April 27 kutokana na kifo cha mbung... Read more »
TANZIA: MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA RUKWA IRENE NDYAMUKAMA AFARIKI DUNIA (HUHESO Digital Blog 18:23 0 SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mheshimiwa Irene Alex Ndyamkama ambaye a... Read more »
Serikali yaweka wazi kuhusu jiwe la rubi la kilo 2.8 (HUHESO Digital Blog 15:22 0 Serikali imekiri kuwa na taarifa kuhusu jiwe la rubi lenye uzito wa kilo 2.8 ambalo linatajwa kuwa linatoka Tanzania lakini bado haijathibit... Read more »
Spika atoa maagizo zuio la bajaji, bodaboda kuingia jijini Dar (HUHESO Digital Blog 11:39 0 Dodoma. Sakata la usafiri wa bodaboda na bajaji kuingia Katikati ya Jiji la Dar es Salaam limetua bungeni baada ya Mbunge wa Ukonga (CCM), J... Read more »
Serikali yatangaza ajira 17,412 leo (HUHESO Digital Blog 21:57 0 WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Bw. Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka huu wa ... Read more »
BILIONI 5 KUBORESHA BIASHARA ZA MACHINGA HALMASHAURI 11 NCHINI (HUHESO Digital Blog 21:32 0 Waziri bashungwa Bungeni Na Angela Msimbira TAMISEMI Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala... Read more »