BAJETI YA SERIKALI KUBEBA MATUMAINI YA WATANZANIA-DKT NCHEMBA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 14 June 2022

BAJETI YA SERIKALI KUBEBA MATUMAINI YA WATANZANIA-DKT NCHEMBA



Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kwamba hotuba ya bajeti kuu ya serikali atakayoisoma hii leo itakuwa imebeba matumaini ya Watanzania na kuwaomba muda ukifika waifuatilie.


Kauli hiyo ameitoa hii leo Juni 14, 2022 Bungeni jijini Dodoma, wakati akiwasilisha hotuba ya hali ya uchumi wa Taifa kwa ajili ya kutoa nafasi kwa wabunge waijadili.


"Ninawaomba wajiandae kwa hotuba ya bajeti ambayo nitarudi nayo leo Alasiri ambayo itakuwa imebeba matumaini ya Watanzania,"amesema Waziri Nchemba

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso